@roc_tv: Sio lazima ushide ili uanze kushereheka , wewe mshukuru MUNGU Kwa sababu utashinda tu I love this declaration song @roctvtz #tiktokkenya🇰🇪 #tiktoktanzania🇹🇿 #viraltiktok #gospel #goviral
very powerful songs..MTUMISHI unaupako Sana hongera Sana.....natamani Sana kama kungekuwa na uwezekano sio kunge kuwa na uwezekano uwezokano upo kwa asilimia 💯 tukaanzisha Kitu kama BMS mana Hadi SASA rocktv inatambulika Sana na imefanyika kuwa mazabahu ya Bwana kwa mda mrefu Sana na watu wanamuona MUNGU Sana hivyo itakuwa imetusaidia kupata watu kwa wepesi zaidi . Sisi tutaifanya kuwa ni kwa gosple tuu Lengo kuu NI kumfanya MUNGU aendelee kutukuzwa Kila sehemu Lakini Lengo lingine kwa ajili ya kukuza vipawa na kalama ambazo MUNGU ameweka kwa watoto wake Lakini pia itafanya kuwa na chance hata kwa waimbaji wadogo wadogo kupata nafasi na kupata exposure kwa mataifa tofauti tofauti na pia itatengeneza relationship na more connection with different people from different countries na tukaweka latiba ambayo itakuwa imepishana na BMS baada ya latiba Yao ya kwetu pia inaanza yote kwa yote SASA tunaandaa motisha kwa washindi wetu wanne au watano wakaondoka na zawadi nzuri na inawezekana kabisa NI maoni yangu kwako MTUMISHI WA MUNGU
2026-09-02 08:33:07
2
yediz_samy :
MOG🙌🏾🙌🏾🙌🏾
2026-09-02 14:27:23
1
Maria Samson :
Naimba Ushindi🙏🙏
2026-09-02 07:50:27
3
Grace Frank :
wimbo wa nan huu jmn
2026-09-02 12:36:59
0
Jowzey Mtumzito($tone) :
powerful song.
"naimba ushindi hata kama sijaona ushindi"
2026-09-02 07:52:32
2
găbřïëľ🕶 :
ushindi🙌🙏🙏🙏
2026-09-02 07:46:26
2
Martha :
Ameeeeeen🙏🙌🙏
2026-09-02 08:52:20
0
TUZO JEROME TZ ✅ :
Ushindiii tu kila mahali💪💪🥰
2026-09-02 10:06:00
0
Ester Peter :
ushindi ni lazima👏👏
2026-09-02 09:57:06
0
glory joseph tz :
we mtumishi unajua sana bwana ukweli tuseme
mtu akija kwenye kipindi chako hajajipanga anaweza aibika 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-09-02 09:33:47
0
Nana :
aman
2026-09-02 09:48:24
0
steve_leeh :
USHINDI🔥🔥🔥
2026-09-02 12:06:46
0
Glamour ❣️ :
😭😭🙌🙌
2026-09-02 10:08:49
0
evahisac :
👏👏👏
2026-09-02 07:50:43
0
Sam_ell :
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
2026-09-02 15:06:34
0
To see more videos from user @roc_tv, please go to the Tikwm
homepage.