@manka_266: Event kubwa ya kimataifa itakayofanyika Melbourne mwezi February 2027 Inaitwa AIME – Asia Pacific Incentives and Meetings Event. Ni event inayowakutanisha zaidi ya watu 5,000 kutoka Australia na duniani kote kwa ajili ya biashara, networking, tourism, hospitality, conferences, events, technology na marketing. 📅 15–17 February 2027 📍 Melbourne, Australia Kuna opportunities kwa business people, event planners, tourism professionals, media, suppliers na watu wengine wanaohusika na business events. Ada inategemea category yako, na baadhi ya participants wanaweza kupata attendance ya bure au hosted packages. Kama una nia ya kushiriki, nenda kwenye website rasmi ya AIME na uangalie category inayokufaa kabla ya ku-apply. Website rasmi ya AIME 2027 – Register/Apply #AIME2027 #AustraliaTikTok 🇦🇺 #TanzaniaTikTok 🇹🇿 #KenyaTikTok 🇰🇪 #businessevents
Manka✨🦘
Region: AU
Wednesday 02 September 2026 08:09:26 GMT
Music
Download
Comments
I.am_golder🌸 :
Nitajie vitu vinavyotakiwa yaani kama vyeti au haiitaji cheti chochote mama ujuzi wowote?
2026-09-02 10:46:57
0
usernow15 :
ok
2026-09-03 04:53:23
0
lukumay45 :
he'll nina company ya utalii,, Shoshana Africa safari,, Our service Wildlife Safari Tours Zanzibar beach holiday,, Cultural Tours, Honeymoon packages
2026-09-03 08:22:50
0
Hussein Karigo🇨🇩🇹🇿🇨🇦 :
Why not nisikufoloooooo!
2026-09-03 09:22:52
0
Hussein Karigo🇨🇩🇹🇿🇨🇦 :
Mbona sasa hii Website sio
2026-09-03 09:26:12
0
Pemba Safaries :
Yesterday I opened such website but eventualy tell me to pay
2026-09-04 10:50:42
0
user179927740960 :
nata ya free tafadali nisadia na yakulima please
2026-09-04 16:21:28
0
Cynthia mknd@ :
Hello Sister❤️💕💞 chat week-end chat et Hobbit About This thank you
2026-09-09 11:26:32
0
To see more videos from user @manka_266, please go to the Tikwm
homepage.