@miss_cassanova_graphics: Kama ningekuwa naanza Graphic Design leo, hivi ndivyo ningefanya 👇🏽🎨 Singejaribu kujifunza kila kitu kwa siku moja. Ningechagua skill moja, ningefanya practice kila siku, nijenge portfolio, halafu nianze kutafuta clients. 💻🔥 Kujua Photoshop ni hatua ya kwanza tu — kujua kutumia skill yako kutengeneza designs zinazouza ndiyo game yenyewe. 💯 Kama unaanza Graphic Design, SAVE hii post na uniambie kwenye comments: 👉🏽 Unatumia Photoshop, Illustrator au Canva? #GraphicDesign #GraphicDesigner #DesignTips #LearnGraphicDesign #Photoshop