@taimediatz: #VIDEO Wanamitandao Dotto Magari na Mwijaku, washindwa kujizuia tofauti zao wamejikuta wakianza kubishana kuhusu uhalali wa ghorofa la Mwijaku pamoja na Afya ya Dotto Magari. ✍🏿 @mariamshabanitz #taimediatz #taimediatv

taimediatz
taimediatz
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 08:40:09 GMT
207511
15149
336
552

Music

Download

Comments

betty_ryker
Betty🧚‍♀️💞 :
Stan kashapata content apo😂😂
2026-09-02 09:30:23
214
great.fox6
great fox :
anko T yuko wap
2026-09-02 09:13:29
41
sweetnee_63
Sweet_63 :
Kwani risit za umeme zinaandikaga jina la nyumba 🤣🤣🤣 au mimi sisomagi vizur
2026-09-02 09:48:53
107
rwiza50gmail.com
rwiza💞💞 :
😂😂😂Utani wa hawa mm siuwezi
2026-09-02 10:12:01
132
debbie..mwashiuya
New Debbie🤳🏼 :
Bora chid anaomba zake pilau😂😂
2026-09-02 17:01:20
30
mimahh201
Mimah_1030 :
Nikiwa mkubwa nataman kua Kama Stan😂😂😂
2026-09-02 14:45:33
24
thomasdamian61
Thomas aitwae pachaa🧘🏿🫶🏾 :
duuh akuna maadili apo
2026-09-02 09:26:37
28
nissan.juke14
8ez :
Duh Tz we have along way to go.
2026-09-02 09:29:38
25
victormoshi85
Victor Moshi :
dd pip simuoni
2026-09-02 10:06:28
11
jeraldmtesigwa
jeraldmtesigwa :
jamn chid benz anaomba nn
2026-09-02 19:10:11
8
khamisialijuba
Khamisi Ali Juba :
dotto na mwijaku bhana watani wakubwa hao
2026-09-02 14:28:16
7
officialmimi779
Grace💕🦋🦋 :
8/8
2026-09-02 13:26:51
6
official_beny6
official_beny :
Mm nipate rafk kama dotto na mwijaku maana baada ya Camera wanaenjoy sana😅🥰
2026-09-02 15:36:03
7
baeavii
bae❤️Avii :
namwambia waziri😂
2026-09-02 09:41:40
12
shamilakasenegala
shamilakasenegala :
ila Hawa jaman
2026-09-02 09:34:40
7
faridaseif
jamila jamili :
ila huyo Waziri ni MTU mzuri !! mpk mnapiga kelele hivyoo ??😳
2026-09-02 11:09:46
10
nestory65
NESTORY NKWABI :
hii siyo content ni battle
2026-09-02 11:39:49
5
khanwide
❄️wayne wide🌿 :
mwaka 20011 siku yaijumaa kitu kama saa8 mchan niliachiwa nimuangalie mgonjwa ambae nikaka yang binam sas akawa anafanya ivo uku ananiangalia san mm nikawa natabasam 2 muda mfupi kidog nikamuona katulia kumbe kaka yang ndo alikuw amesha kufa tayali mm nilikuwa sijui sas napiy umli wang ulikuwa bado kujuw basi niliumia san kwakweli kifo kinauma san mungu atupe mwisho mwema amiin
2026-09-03 05:25:19
5
bridgeth054
bridgeht1 :
Mbona papi mananasi hatumuoni mmemuacha wapii
2026-09-02 11:34:29
5
de.wine23
De🦋 winnie🦋 :
Mi sipend mwijaku anavyomfanyia dotto magar 😭😭
2026-09-02 15:37:09
6
mawadah758
🦋مود✨ :
is not funny
2026-09-02 09:27:20
12
yuzassifii
yuzassif :
kwa nn wakae pamoja ☺️☺️
2026-09-02 09:26:30
7
jamarchagaga
jamar Chagaga :
[Sticker] ivi apo niwapi
2026-09-02 09:14:31
7
momteez5
momteez5 :
Kweli maadili 😳
2026-09-02 09:08:18
7
officialgiftedy40
babygiftedy40 :
kesi ishakuwa ngumu
2026-09-02 09:55:06
6
To see more videos from user @taimediatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About