@supremleader_20: #NEPALFLOOD#mazingenashafiishomarywakristonawaislam #WORLDTIKTOK#viral #fyp

SUPREM-LEADER_20%
SUPREM-LEADER_20%
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 08:50:01 GMT
46643
2318
231
115

Music

Download

Comments

salim.kaka12
kaka salim :
my brother ALLAH is everything
2026-09-02 10:14:07
0
abdulbandari
abdul bandari :
Archimedes principle: when a body is totally or partially imersed in a fluid , itexperiences an upthrust equal to the weight of the fluid displaced....
2026-09-02 14:55:55
0
humayrahmrs.isco
Humayrah💕Mrs Isco ❤️ :
apo ni mungu tu ndo alitenda
2026-09-02 09:43:03
61
coman_msafi
coman-msafi :
2026-09-02 10:54:20
21
eden.herbal
Eden Herbal :
Jaman hata haitaji wataalam, majin ndio yakuw yanatembea sio msikiti
2026-09-02 10:36:54
6
chiwaya688
chiwaya :
daaah tufanye ibada ndugu zangu
2026-09-02 09:43:40
15
baba.ubaya8
BABA UBAYA👽👽 :
kwani ulikua unatembe au umesimama maji yana pita naomba kueleweshwa
2026-09-02 10:25:57
17
tammy05872
tammy :
fact broo
2026-09-02 12:59:21
1
user50928713920657
Ranama :
Mungu ni mwema
2026-09-02 09:57:05
12
rahimamct
Rahma. :
subhanallah msikit unahama
2026-09-02 11:46:49
5
zogolokhwale
Zogolo :
watasema msikiti ulikua na tairi
2026-09-02 10:54:36
1
asila.salim724
Asila Salim :
Allah akbar
2026-09-02 10:19:32
8
ebnuha
ebnu hafjo2025 :
engineer aliweka propera huo ila Allah namkubali kutoka moyoni mwangu bila hata kulazimishwa asili yangu imenisukuma allah akbar
2026-09-02 14:41:39
4
francischekha
ngunda :
🤣🤣🤣🤣acheni kuzalilisha dini kwa video za AI
2026-09-02 12:33:45
0
user83069599708347
user83069599708347 :
safi swali zuri wataelewa tu allah akulinde
2026-09-02 10:51:10
2
masoudnzowa3
masoud nzowa :
Kila jambo linasabab HT kama mungu anahusika kwa 100%
2026-09-02 14:55:30
1
mafafama
mafafama :
huo msikiti sio AI lkn??
2026-09-02 11:03:15
0
mlimwengu5
MLIMWENGU🌀 :
ilikua AI
2026-09-02 13:03:57
0
udolekongni61
user4088349293830 :
huo msikiti italakuwa umejengewa mbao kwasababu zege sio rahisi kuelea kama boti
2026-09-02 14:19:48
0
maulidibura_official
Maulidi Bura :
ni AI huo msikiti unaofloat na kujongea ila hilo jengo lililohimili majibua mafuriko bila kubomoka ni real, kweli
2026-09-02 13:50:14
1
user97537270217715
rashfaa saidi :
na huo msikiti kama una mataili unaendeshwa kabis Allah ni mkubwa ila watu tu hawaamini kama yeye ni mfalme wa wafalme
2026-09-02 13:27:00
15
nzorimfaki
nzorimfaki :
Huo msikiti uliwekewa floater chini that's why
2026-09-02 10:22:44
0
user5212719817043
mafita family :
Brother wabong nivichw vigum mpak yawakut nd waamin, yaan wabong nd wat ambao wakiambiw tareh flan wot kaenn ndan wao wanatok kuangaliia ninan katoka
2026-09-02 10:58:47
2
khadija12345hashim
hadija :
kweli hawataki kuelewa kwamba mungu yupo unachokifanya mungu analipa hapa hiyo ni funzo kwa dunia nzima mungu halali wala asinzie muda wote mungu yuko macho anaona kila kitu kwa hiyo tuwe makini mambo mengine tunayoyafanya tumwachie allah ndio mpangaji wa kila jambo hiyo ni mungu tu mwenyewe kwamba nipo
2026-09-02 13:48:22
1
ramadhanahussein
rama.DZ :
sana kaka mina kuombea dua njema kwa elimu
2026-09-02 10:20:43
1
To see more videos from user @supremleader_20, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About