Tuku masta tozz Tz 🌴:Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu.😁
2026-09-02 12:15:23
0
💥@lyou💥 :
sema kimeumanaaaaa!
2026-09-02 09:25:14
0
GAMES 🎮 store 🏪 MOBILE 📲 :
ilikuwaga tabia yangu hiyo kuweka mawe😂😂😂
2026-09-02 11:52:05
0
Di gea 08#✝️ :
😀😀
2026-09-02 10:17:16
0
Last kaizer :
clokeeee😅😅😅 huwez kuchukia
2026-09-02 10:28:14
0
Director B.a.d.y 🎥 :
😂😂😂 ndo zetu
2026-09-02 10:08:44
0
MUSHI BROWN :
mwana jau sana
2026-09-02 11:40:23
0
glory G21 :
me huo mlio hoi 😂😂😂
2026-09-02 13:25:59
1
yope melody :
Sasa huyu
2026-09-02 09:32:55
0
Wabi Cutting 🤴 👑 :
like zan
2026-09-02 09:16:11
2
Young wise To🤫 :
navi
2026-09-02 09:17:45
1
@whiteman413 :
dapinyo ni ndugu sio😃😃😃
2026-09-02 09:15:35
1
🌟LAMINE__UNDOLE🌟 :
Kibo liliani
2026-09-02 11:59:19
0
Claudy Ester :
Ntakutaja kwenye dukuduku nasubiri pipi atoke kwa waizri...
2026-09-02 09:22:42
0
To see more videos from user @mr_navvy_og, please go to the Tikwm
homepage.