@prisca_nnko: ni kweli wachaga hawapo romantic au dada hapendwi😅😅@adelinaisack house of beauty wamehusika kichwani hapoooo🔥🔥

Chica_fourteen
Chica_fourteen
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 09:22:21 GMT
65776
5395
558
253

Music

Download

Comments

goodhopekessy
Goodhope kessy :
🌹🌹🌹💯💯💯🫶🫶🫶🫶tupoooooo
2026-09-12 08:40:20
0
kimdyner6
kimdyner :
mchaga akikupenda kweli atakuhudumia
2026-09-02 10:47:39
68
officialreeny6
🦋Reeny🦋🌸 :
Mwanaume wa KICHAGA usipomtafuta hakutafutii
2026-09-02 12:44:45
53
nicestores1
nicestores1 :
Kaka zangu wa kichaga ni ngumu kuwatetea ktk hili😂😂😂😂😂😂 ila from experiance akikupenda atakuhudumia na muda atakupa na mawasiliano atakupa🙌🙌🙌
2026-09-02 13:45:15
77
phiphi_store
phiphi🌹flower bird🦋 :
wengine hawatoi hela ila ukitak kitu anakununulia wachag wanatak watu wanaofocus na maisha wanaojiongeza
2026-09-02 11:08:25
120
ms.irene57
Irene official ❤️ :
kwel kabisa hawapo romantic kabisa yan mpaka wanakwaza yan
2026-09-02 09:29:30
48
vickie5179
Vee 💸🦋🌹 :
mm ni mchaga jmniiiiii ila mwanaume WA kichaga mm NOOOOOOOOOOOO😂
2026-09-02 14:40:20
22
nayester4
Nayester💞 :
msiwasingizie wachaga 🤣🤣
2026-09-02 11:52:22
10
aloicy.mmassy
Mmasy🇹🇿🇺🇬 :
Mimi na mpenz wangu tunakutana status tyuu🥰
2026-09-02 13:41:13
13
florancebearling9
Dr florance🥼 :
atafute pesa zake ili upendo uendelee
2026-09-02 09:33:55
13
naice.marandu7
naice marandu :
😂😂 Hao ndo kaka zangu ndo hicho kilichonifanya nikachana na mchaga wangu mtu gani hayupo Romantic Akutafuti Adi wew umtafute 😂😂
2026-09-02 13:52:59
13
qeenenrial4
queen 👸 :
hiii story ni yangu kabsa ila ananitafta asubh mchana na jioni shida yaan sawa nina kaz ila hajiongezii yaan ukitaka kitu anakununulia jaman yaan dah
2026-09-02 12:24:43
6
lizzyb__00
lizzyb__00 :
Ndo wakivyo kaka zangu ndo maaan me siwadate kabs
2026-09-02 13:05:05
5
user4056802181474
. :
woii wachaga hatujapata kichaa cha mapenzi hata mimi wiki simtafuti nikija kumtafuta tunaendelea tulipoishia hamna kuulizana mbona kimya maana wote tutablokiana tena
2026-09-02 10:45:53
10
mtui19
mtui collections :
jmn waachane wachaga wadate wachaga wenzao , ila km anakupenda atakuhudumia bhn no matter wht his last rel did to him
2026-09-02 14:12:08
6
itssueh21
🪫❤️‍🩹• :
hapana mwaya huyo ni wakee m wang mbona yupo romantic😂❤️🫴🏾
2026-09-02 11:29:41
7
jeilasu
jeila suits :
Kwa wachaga hii romantic si wanaume tu ata wanaeake tulisha ifukiaga uko atunaga kabisaa ukinitafuta nakutafuta usipo nitafuta waiii Sina muda
2026-09-03 08:04:42
6
user9906169159692
binti hassan :
mimi nilijua ni wangu tu kumbe wako wengi ila mm ndo nampenda vp
2026-09-02 11:39:52
6
brayanmoshi08
Max-B :
wachaga hatujawai kiwarimatic
2026-09-04 12:26:12
0
cashmadame74
Cashmadame house of beauty❤️❤️ :
nikaka zangu lakin achana nao
2026-09-03 08:03:35
0
innocent.eleven11
innocent eleven :
huyo tunamchezea2 hatuna malengo naye wachaga oyeeeeeee😂😂😂
2026-09-03 10:52:29
2
user4035802313558
user4035802313558 :
MCHAGA AIIKUPENDA ATAKUPA KILA UTAKACHO HAWANA UGUMU, ASIPOKUELEWA MHH!
2026-09-03 00:00:04
1
To see more videos from user @prisca_nnko, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About