@chugabigii: We endelea tu😂😂 #funnyvideo #comedyvideo

LOUI
LOUI
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 09:31:55 GMT
113727
15106
413
2478

Music

Download

Comments

paschal.simon29
realpaschal🥶🥶 :
kwani naomba kuuliza huyu si ndio aliyeimba henesy
2026-09-02 11:25:18
123
jerco.bugali8
Jerco Bugali :
kwisha weweeee!!!!😳
2026-09-02 11:43:59
14
cleema77
cl-eema77 :
anaongea kama masihara ila ujumbe mzito sana jmn wenzang tufuteni sms🙌 yamenikuta mwenzen nimekosa kaz💔💔🥺
2026-09-02 10:52:59
50
don_azadhoza
DON AZAD HOZA🇹🇿🇺🇲 :
STATUS VIEWERS MKO WAPI???
2026-09-02 10:02:24
45
saviormitumba
SAVIOR MITUMBA ✅ :
UHAIN 😂😂😂we jamaaaaa naakutafuta loui
2026-09-02 09:57:38
12
maplanboy7
maplanboy8 :
mungu wangu kama me najiona na chalii yangu tunavo kula kisago🤣🤣
2026-09-02 09:36:02
39
halamadrid___255
Madrid&mancityfan+255 :
apo utaona umuhimu wa disappear messages on WhatsApp 😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-02 13:18:11
3
fadhila2209
Fadhila❤️ :
kuwatetea itakuwa ngumu😀😀
2026-09-02 10:13:49
10
kidayo781
Kidayo🇿🇦 :
Hamadi😂
2026-09-02 10:06:30
15
bedajuniour77
Beda juniour :
nimeenda kufuta Kila kitu dm 😂😂😂😂
2026-09-02 13:18:36
7
obbio47
OBIOTz🏆🇹🇿 :
5/5 chap
2026-09-02 11:44:18
5
ladivaone1
Ladiva Gee❤️‍🔥 :
😃😃😃kwishaaaaaaaaaa gud byeeeee
2026-09-02 13:49:40
2
chame.org7
Roger's Store :
wenzangu wa uhaini mpoo😂😂
2026-09-02 10:08:56
10
ganze_14
ganze14 :
mataptap 😂😂😂
2026-09-02 10:05:42
6
arkipombuba
arkipombuba :
Kwishaa kuna nini tena😀😀😀😀😀😀😀😀😀
2026-09-02 11:46:43
5
shakti.bobo.tz
Shakti bobo :
lazma😂😂😂 ila wana
2026-09-02 10:14:47
7
makih021
me😊 :
kwishaaaa
2026-09-02 11:06:59
2
user0lunguboy
🅛🅤🅝🅖🅤 🅑🅞🅨 🔥🌊 :
mhaini😂😂😂
2026-09-02 09:40:09
3
khatibnail
khatib :
jamaa amefikisha ujumbe kwa njia ya comedy huyu ndyo kioo Cha jamiii😁😁
2026-09-02 14:16:14
12
hope19925
hope :
ila wewe jamaa hapana aisee
2026-09-02 10:11:53
7
juwajahlife
Dullah yooh :
muhim mzee
2026-09-02 09:34:54
8
mrswai06
mr swai98 :
hata huku kwenye comment tuwe makini na kile tunacho comment
2026-09-02 11:54:07
13
ney.amour8
Ney Amour :
Hahahah nimecheka kwa nguvu wallah ipo siku yetu 😂
2026-09-02 13:49:09
5
chuga746
MSAMI :
Tunakuitaji uripoti kito Chochte chakaribu yako🤣🤣🤣
2026-09-02 09:43:11
5
To see more videos from user @chugabigii, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About