Background Audio Dada Eliza Na Rafudhi mchanganyiko Japo ni wa NTUZU DU" Le Ng'waka Lyasilaga Bhadugu Bhane Dushoke kaya Gogisha bha Byazi 😁 Siko kusahihisha ila Hiki ndo kinyantuzu Na Eliza Alishajimix sana na Wasukuma Wa Maghalibi Kama Tunavyoona kina Kisima Kinyantuzu Cha kusimika kabisa Hawakitumii sana 🙌🏿🙌🏿🙌🏿
2026-09-03 18:54:37
1
Fisi Dume :
sukuma ni sehemu iliyopo kasikazini kwa tabora kuanzia shinyanga mpaka mwanza hii ndo kasikazini Yani watu wa tabora waliwaita wanasukuma ambapo hio sukuma imegawika mara nne keya/mtuzu,dakama,mweri na mwagala tu, usukuman hamna Kanda ya sukuma tena, dakama ni jamaii ya wasukuma waliopo kusini mwa shinyanga wenye mchanganyiko au wenye kwendana tamaduni na Bazi ya jamii za wanyamwezi wa nzega tabora kwa hio mnyamwezi ni kabila kabisa linajitegemea ila mdakama ni aina ya msukuma aliyepo ukanda wa kusini mwa usukumani Ambae anamwingiliano na wanyamwezi japo kabila mbili tofauti msukuma na mnyamwezi
2026-09-03 03:15:22
4
Msuka Julius :
niko dar sukuma ni kuanzia koa upi
2026-09-03 05:11:34
0
Seleman Paul :
Nakubali weee ni mnyantuzu ety
2026-09-03 07:27:02
2
Hersam 🌀🌙¹²¹²☆ :
natuzu iko wapi
2026-09-02 19:17:04
0
Wageta## :
hii kitu ilikuaga inanisumbua sana aise ubarikiwe sana
2026-09-03 10:19:35
2
Mr yohana :
Dah umetishaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
2026-09-03 08:30:30
2
zellewisky shop :
uongo🤣🤣
2026-09-02 17:44:13
0
nakupenda :
hapa ndo utajua sukuma sio kabila najiuliza kabila letu ni lipi??
2026-09-03 08:43:00
0
EBS :
umekosea mzee
2026-09-03 08:05:02
1
Reilycivan🤍🥂 :
2026-09-03 18:51:13
0
mwanza :
yaan tabora
2026-09-03 20:50:42
0
fedrick :
pamoja sanaaa👍👍👍👍
2026-09-03 17:26:00
0
official_luge_ :
kheeya sio kiya👍
2026-09-03 19:00:30
0
sa10 mpole :
nene ndiwasukuma
😁😁😁😁😁
2026-09-02 20:47:24
2
SAM :
sio kweli
2026-09-03 18:50:53
0
luckus amoss :
🌅 mm sukuma
2026-09-02 19:22:50
0
Yohana Francesco :
wow nyumbani moja hiyo
2026-09-03 11:24:34
0
pekenyua :
hii nilikuwaga naitafuta sana
2026-09-02 19:22:16
0
mwanza :
kaskazn mwanza magharib ni geitana shinyanga masharik ni simiyu na kusin n dakama
2026-09-03 20:50:20
1
🏄♂️Respect Zone🏊♀️ :
najivunia hakika
2026-09-03 12:37:58
0
qtyhjkf 🩺💉🥼💊🩹 :
shashi
2026-09-03 09:34:23
0
@barnaba_kulele :
nyimbo ya kujidai nayo mwisho wa mwaka
2026-09-03 08:19:50
0
Raurenti Matiasi :
saw
2026-09-02 18:21:25
0
To see more videos from user @seleman.paul45, please go to the Tikwm
homepage.