Tanzanians you really miss Magufuli.May his soul continuenresting in eternal peace
2026-09-04 14:57:43
0
sifaeli kira :
hakuna tena rais kama huyu Tanzania mungu mweke mahali pema pepon
2026-09-03 03:36:47
11
Jess🤗♊ :
waliokuondoa hata nafasi wameshindwa kuitumikia,, nenda baba😭😭💔
2026-09-04 20:55:52
1
Daniel myeji :
HAKIKA MUNGU WA MAGUFULI TUKUMBUKE TENA WATANZANIA
2026-09-03 07:06:18
13
Hazimara Janini :
hakika kwake tutarejea pumza kwa Amani🌹
2026-09-03 16:53:47
2
manoach,"rest" :
Kwa maraisi WOTE huyu NDIYE aliechaguliwa na MUNGU ☺️
2026-09-04 08:47:53
4
Estar chandaruah :
Huyu Baba ameniuma MUNGU mwenyewe NDIE anajua maumivu yangu nikimuona nasikia huzuni Hadi namuuliza MUNGU mbona uliruhusu hili muumbaji wetu????🤔 Kwanini MUNGU wetu unampango gani?? na sisi binadam??? basi inatosha kusema wewe NDIE wajua MUNGU 🙏🙏🙏🙏🙏 ila hapa Kwa hiki kiumbe chako hiki MUNGU 😥kilitufaaa sana kutuongoza alikuwa na hekima huruma unyenyekevu Kwa wanainchi wake daah aisee nashidwa niseme Nini 🤔😭😭😭
2026-09-03 05:50:01
6
Hesbon Magoma :
keep on resting in peace shujaa wa Africa
2026-09-03 06:12:54
3
Agness Mabula :
nikiona hivi machozi t m jamani bbaaa ulikuwa unapambaban kwer
2026-09-03 05:03:35
2
Upendo Koola :
mungu angalia na hili Fanya hima utusaidie
2026-09-03 10:24:36
1
veelove :
Hapa tuliwezwa😭😭
2026-09-03 08:16:27
3
Devotha Mtaro :
Babá etu jmn ,,Pigo kubwa sana hilo
RIP Baba etu JPM,,
pamoja na speaker wa Bunge Job Ndugai
2026-09-05 06:46:18
0
Sara Joseph :
eeh mungu tusaidie
2026-09-02 21:00:33
0
mariam denis ipanda :
hakuna wakufanana nawewe jamani
2026-09-04 02:45:28
0
febronia mulekuz :
Mungu ndie anajua mwanadamu huwezi kujua
2026-09-03 10:49:05
1
evarista raurian :
mungu nimkubwa sana magu hatutamsahau kamwe mungu endelea kumulinda huko aliko
2026-09-03 16:56:08
4
R Kelly :
Magufuli nenda salamaaa😭😭😭
2026-09-03 12:10:00
1
hRachel Kulei :
lala mahali pema peponi makufuli🙏🙏
2026-09-03 08:48:22
1
Irene komba :
rais wetu pendwa anatabasamu liiloeda masitazi elimu ya juu sana
2026-09-03 10:24:57
1
user9616376615588 :
nimeangalia zaidi ya mara kumi..Alikua Rais wangu pendwa 🥰
2026-09-03 13:49:56
1
To see more videos from user @johnjames9150, please go to the Tikwm
homepage.