@johnkashambaofficial: #creatorsearchinsights #trendingvediosforyoupageontiktok100k

John kashamba
John kashamba
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 10:04:02 GMT
29715
1726
30
61

Music

Download

Comments

ksayboy
KSAY BOY NYAMWEZI :
huu wimbo una itweje kwani
2026-09-05 07:04:40
1
user4812366545062
MANYONDO MELCHISÉDECH :
courage vraiment 👍🌺🌺🌺
2026-09-05 05:59:54
1
ivon86721
ivon :
ambae hana sale aje nimuuzie hii apa me siend tena kanisan kama ndo hivyo 🥺🥺
2026-09-05 04:55:12
2
akili.mussa67
Akili Mussa :
ujumbe mzuri ila mauzui au matendo siyo
2026-09-03 11:02:02
3
paschalhenry33
paschalhenry :
sijaelewa hii staili ya kulewa kwenye madhabahu ya Mungu,kwamba unamanisha nn
2026-09-04 14:05:34
2
user6620082330616
pasco sinkala :
nashanga
2026-09-04 20:19:06
1
claudedaniel234
Claude Daniel :
kweli kaka unani furahisha kweli
2026-09-04 19:46:57
1
mvaaandrew
Mvaa Andrew :
Huu wimbo unanipa maswali mengi moja kubwa kuchukua mtindo wa mlevi, haujakamilika anatakiwa atokee na mhubiri kutoa msimamo, hapo mlevi kapewa nafasi madhabahuni.
2026-09-02 16:03:41
3
kastuliamosi
KASTULI COMEDIAN TZ :
kakkkkkk❤️
2026-09-05 06:44:54
0
user3608851687761
baliki :
mtawatambuwa Kwa matendo yao
2026-09-04 17:40:18
1
selemaniteachers
selestino t :
hii nathahily kua nisku za mwisho kuona mpaka wachungaji wamepigwa upofu wa kiroho
2026-09-04 20:19:11
1
melekzedeckmathias0
melekzedeckmathia :
waoo brandi hizo ila umesema ukwel
2026-09-03 19:32:22
2
godfreyomenda
Godfrey Omenda :
Comedy in Church😳😏
2026-09-02 13:06:15
1
clement0990121066
@clement+243829682486 :
Jina ya wimbo tafazali
2026-09-04 09:01:13
1
user601372647
EMMANUEL :
Hii inji ya uimbaji siku hizi imevamiwa....
2026-09-04 04:55:39
1
anthonyshemndolwa
ANTHONY Shemndolwa :
nakubali kaka kalibu dar
2026-09-02 19:38:46
2
john.daudy3
MR. JOHN :
mh
2026-09-04 05:29:15
1
everlyn.amoit
pendoo❤️❤️❤️❤️ :
kweli wambie lakini chunga usianguke amen 🙏
2026-09-02 20:16:13
1
gabrielyfrank
BABA JADEN :
tuimbe tu bila kuigiza watatuelewa to sababu anaye tenda kazi ni Mungu
2026-09-05 06:14:58
0
user5634668681909
mtoto wa pili investment :
nashangaa
2026-09-03 10:50:03
2
nathan.mwakabana7
Nathan Mwakabana :
UJUMBE UKO VIZUR ILA UWASILISHAJI SIO KABISA,,HAPO ULEVI NDO UNATANGAZWA KANISANI..MCHUNGAJI ALIYEKARIBU NA HUYU NDUGU AMSAIDIE
2026-09-04 06:40:01
1
miss0253
Miss :
Hapo ndo nmejua kati ya MCHUNGAJI,MTOTO NA MLEVI Ni nani anae sema ukweli🤔🙌🙌🚶🚶
2026-09-05 05:46:23
1
user987688500255
alexmajaliwa :
huu sasa wenda wazim
2026-09-04 15:48:49
2
esedi.fransisco
Esedi fransisco :
hv kuna muhubiri mlevi au mm do sjaelewa saw ujumbe muzuri lakn 😳😳😳😳
2026-09-02 13:09:52
1
happynes.buya
Happynes Buya :
hivi siku hizi ulevi imeruhusiwa makanisani?
2026-09-02 14:29:00
1
To see more videos from user @johnkashambaofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About