@enlighte.schoral: Hebu tufikirie hii kwa pamoja "'أَزِفَتِ الْآزِفَةُ" inakuwa ya kushangaza zaidi Allah anasema👇 أَزِفَتِ الْآزِفَةُ 👉[[Kiyama kimekaribia]] 👉Linalokaribia limekaribia. (_An-Najm 53:57_) Kwa mwanadamu tunasema...👉"Kiyama bado kiko mbele🤷 Lakini kwa upande wa uhakika wa ghaibu, ujumbe ni....🤔 ```Usikichukulie kitu ambacho Allah amekiahidi kama kitu kisichokuwa na uhakika kwa sababu tu hakijatokea mbele ya macho yako.``` Hivyo uhalisia wakweli ni kwamba *"jana na leo havipo kabisa,"* Bali.....✍️ Dunia inatufundisha kuhesabu muda. Na....✍️ ```Ghaibu inatufundisha kwamba uhakika wa Allah haupimwi kwa hisia zetu za muda.```