@zebra_restaurant_: JINA:MDUARA WALI hii inakua na mchanganyiko wa Mandi, Pilau, Biryani na Wali Maua, unapewa na sauce ya Biryani, njegere za Bluband na Special Recipe, Zebra Sambaro, Salad, na White sauce yenye secret recipe moja matata sana: Packages zinakua kama ifuatavyo:- WATU 3/4: BEI 48,000/= Hii inakua na Kuku Mmoja wa Kisasa na Nyama ya Ng'ombe ya Kutosha kabisa watu 3/4 WATU 5/6: BEI 65,000/= Hii inakua na kuku mmoja wa kisasa, nyama ya ng'ombe kilo 1, na vipaja vya kuku/Drumsticks 5 WATU 5/6: BEI 75,000/= inakua na kuku mmoja wa KIENYEJI, nyama ya ng'ombe kilo 1, na vipaja vya kuku/Drumsticks 5 WATU 8/10: BEI 95,000 inakua na kuku wawili wa kisasa, nyama ya ng'ombe kilo 2 na vipaja vya kuku/Drumsticks 10. WATU 8/10: BEI 115,000/= inakua na kuku wawili wa KIENYEJI, nyama ya ng'ombe kilo 2 na vipaja vya kuku/Drumsticks 10 RATIBA: JUMANNE ,JUMATANO, ALHAMISI,IJUMAA,JUMAMOSI, JUMAPILI KUANZIA SAA 6 MCHANA HADI SAA 3 USIKU, DELIVERY:Gharama za usafiri ni juu ya mteja na pia utalipia sinia sh 5,000 kwa ajili ya take away package) #kenyantiktok🇰🇪 #kenyantiktok #tanzaniantiktok🇹🇿

ZEBRA RESTAURANT
ZEBRA RESTAURANT
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 10:17:43 GMT
170930
6984
103
180

Music

Download

Comments

m2mdiba
mgiriki 29 :
ukinunua kisinia utapewa na io nyimbo ya shani 😂😂
2026-09-02 17:21:26
37
mohd.amour
MOH'D Amour :
vya watu wawili bei gni
2026-09-05 07:29:18
0
mahrasaid3
Mahrasaid :
ukitaka delivery ya hio package unapata
2026-09-02 18:21:42
0
abdulrazzaqyusuph
B I L L O N :
bei gani kama hicho🔥🔥🔥
2026-09-02 10:32:54
8
user9234690979375
@_Milkhan 001 :
bei gan
2026-09-12 12:35:29
0
tupendane57
Full of shiet.. 🙃 :
sasa mnapost video za Nini ikiwa hamtaki kujibu comment😏
2026-09-02 19:19:45
4
salmajumatz
salmajumatz :
mkoa gani mko
2026-09-13 12:32:41
0
abasalibakar
Abas :
shimngap
2026-09-03 18:20:34
0
queensalsa194
queensalsa1 :
Wp hii sasa
2026-09-05 05:27:03
0
ture.42
ture 4👊🏿 :
xhingapi
2026-09-06 13:41:57
0
drtunge
Dr Tunge :
wapi na ni shilingi ngapi?
2026-09-18 10:10:20
1
user8394187228718
user8394187228718 :
kama hii kias gan
2026-09-05 09:00:11
0
leticia.leonard94
Leticia Leonard :
shingap hicho kisinia
2026-09-02 15:44:42
0
shanathuman
it's Shani♥️ :
jamani ndoshani
2026-09-02 18:38:17
0
ray407059
Ray :
Bei gan
2026-09-02 16:02:28
1
meenah.ally3
Meenah Ally :
cha wawili hamna
2026-09-06 10:04:37
0
ameirdawp8e
Clever stupid :
natka jina la hii nyimboo
2026-09-03 13:26:03
1
siamunisi
🌈🥰ṣ̌īăĥ🇹🇿 :
shingap hicho kisinia
2026-09-02 17:03:30
0
mrsmwalongo0
mom gang G :
uto tumajani tunatoa au tunakula msinifokee nmetokea njombeeeeee nmechoka kilima mgongo unauma
2026-09-02 11:59:42
3
user8123409408182
NASIR BG :
mimi kazi hii nita fukuzwa mana siwezi kupanga nyama hapo bila kuonja angalau vibondo vi3
2026-09-03 15:33:54
0
user5821268502558
user5821268502558 :
Habari hakuna aina nyingine ya kisinia kama kile Cha biriyani,chips,na vinginevyo
2026-09-04 15:23:42
0
lakairojr
LAKAIRO JR🍂 :
shaniiii🤣🤣🤣
2026-09-02 16:18:43
5
amina.juma863
Amina Juma :
bei gan
2026-09-02 17:23:42
1
ifattz3
عيون جميلة🥹😍😘🎼 :
Wangp tunaend 🥰
2026-09-02 10:45:29
1
masanja.james5
Masanja James' :
bei gani kama iyoo
2026-09-02 19:40:40
0
To see more videos from user @zebra_restaurant_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About