@bongofive: Tazama Wasanii na Wanamitandao ambao walitakiwa kufika leo Wizara ya Mambo ya Ndani wito wa Waziri Katambi Anko T ametuma mwakilishi wake huku Niffer na Noel wakiuliziwa Imeandaliwa na @abbrah255 #BongofiveUpdates

Bongofive
Bongofive
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 10:22:37 GMT
188374
9922
291
216

Music

Download

Comments

user8759800338146
Marry :
hv cku hizi serikali haina kazi
2026-09-02 12:05:25
208
leylamasoud565
Leyla Masoud :
ata mkiwafukuz waandish wa habar juma tunamtegemea
2026-09-02 12:22:33
241
santa_ritha_ensamarco
Santa_ritha_ensamarco_bucha :
sasa stan bakora kafanya kosa gani 😁😁😁😁
2026-09-02 11:59:53
70
kassimmwitu735
Kassim Mwitu :
African is dark continent due. to Eurocentric view
2026-09-03 06:47:24
0
nurvent1
sashavent.1 :
itikieni kwa sauti kama mnavyotuchambaga titok😂
2026-09-02 11:20:50
36
amosi706
amosi mikaeli :
next next next next next next
2026-09-03 06:50:56
0
sarahstanleymbiu
Sarah Stanley Mbiu :
juma kuwa makini hapo tunakutegema
2026-09-02 11:39:58
50
jafarsadick433
create :
adi niffer
2026-09-02 13:25:29
0
gyokeres415
Lindroos🇹🇿🇳🇱 :
Wasomi HII leo Dotto kauzuria dasani na jina kaitikia nipo Mwalimuuu😁😁😁😁😁😁
2026-09-02 15:23:24
9
flora57246
Flora :
Ko anko hayupo jmn😁😁😁
2026-09-02 10:32:21
8
ijuebibliatz
IJUE BIBLIA :
tena wangeitika Jana naleo
2026-09-02 10:28:46
60
user3751421825614
mary wallet💴💰 :
Mimi nimai wamai tv🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-02 13:32:32
6
beckham.nelson09
Beckham Nelson :
duuu. wamerudi shule tena wanaitwa majina
2026-09-03 04:41:03
1
msdaisy05
msdaisy05 :
Hawa si ndo walikua kweny kampen au
2026-09-02 12:27:27
6
lice.alice.alice7
Alice💕 :
leo kila mtu kafunga ushungi😂😂😂😂
2026-09-02 11:14:51
31
priscaletticia4
🖤Official._.(Prisca)🖤 :
Next please
2026-09-02 20:20:42
0
user5560070055913
Merry Tz :
Ambao hawaelew Kama mm 😳
2026-09-02 11:49:54
13
omaryally3805
midundo og :
kwa mtazamo wangu mm nilitaka ancle t angeenda mwenyewe
2026-09-02 13:21:51
13
bertha.john3
Bertha John :
apo usikute kuna watu wamesahau majina yao ya ubatizo maana
2026-09-02 12:43:59
5
denyvanshacky
Deny Vanshacky :
nachojiuliza wameitwa kisa nin mbon serikal inakosa mambo muimu ya kufatilia asee
2026-09-02 22:43:34
1
timafaraj0
Fatima📌🥰 :
ndio maana naipenda Sana Kenya 🇰🇪 yetu hata mutumie mitandao kiholela mpaka December serekali hawahush😂😂😂😂😂😂
2026-09-02 19:22:39
4
official_ashuu48
official ashuu :
Kuna mt anawez kunambia kunaendelea nn
2026-09-02 18:02:14
3
rose_kimodo
Michellerose119 :
Jamni kucheka kwa voice note ndo nafanyaje 😂😂😂😂
2026-09-02 12:41:20
2
samahkhan001
~Zayn💞~ :
Kumb wasiofik wanawawakilish wao sas ank mbon han
2026-09-02 10:27:47
1
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About