@jc.africa.watch:

JC AFRICA WATCH
JC AFRICA WATCH
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 10:23:03 GMT
454918
26409
1023
1073

Music

Download

Comments

user9830730044707
magreth Simon :
ndio maan nikikumbuka Kuna kufa nakuacha Kila kitu,, hela yangu nakula naenda kula chakula kizuri 😂
2026-09-02 13:40:47
427
kauthar682
kauthar :
ukiona majirani zako wako Ivo usijenge mjengo kuwazidi trust me husda zipo .na mungu yupo muwe pole ndugu zake
2026-09-02 15:19:40
304
josenzgtz
Mr.J Tz :
ukitaka kujenga nyumba nzur kwanza angalia majirani zako walio kuzunguka kama mtaendana la sivyo utatumia nguv nyingi mno kuishi nao
2026-09-02 16:46:33
115
judymwacha
judymwacha :
usikute yupo nyuma ya mlango
2026-09-02 15:00:53
92
user40297696124344
Rahma Said 🥰♥️ :
ndo maana watu hawataki kujenga vijijini kwao
2026-09-02 15:46:23
65
elianaemmanuel58
Eliana Emmanuel :
wangap wameangalia nyumba za jirani zake
2026-09-02 17:31:14
50
stamphord2
Justin stamphord :
sio kwa ubaya ndugu zetu wanaturoga san tukianza kutoka kimaisha
2026-09-02 16:25:52
82
user8243865614151
rey qeen💞💞💞 :
Nataman nngekua mkew😂
2026-09-02 18:28:36
14
mawordgomwa
mawordgomwa :
hamia kabla ya FINISHING. ndio maana watu wanahamia madirisha wanaweka turubai
2026-09-02 12:33:59
144
veemoneyisrael
miss vee :
daaah n fedheaa asee
2026-09-03 16:24:20
1
5432111alex
Y-25 :
Tatizo hii nyumba haikustahili hapo
2026-09-03 03:29:52
32
lyra72318
Lyra 🫧💕 :
duh! jmn na kujibana kote huko ndo mana nikipata ela nakula sitaki ujinga😢
2026-09-03 07:24:10
32
user9620503616827
Edith :
very painfull
2026-09-03 18:29:58
0
user7445088191672
0707203506 :
rest in peace broo
2026-09-03 03:30:12
0
user9846974022703
Zaynabo 1213 :
kifo kama cha marehemu baba yangu alijenga vizuri siku tunataka kuhamia ndio akasema akajipumzish kidogo kwenda kumuamsha tukakuta kafa duuh 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-09-03 07:15:07
6
naomikyando1
Naomi kyando :
Amejibana kula ili tuu aishi pazurii lakini kifo hiki duh😭😭😭
2026-09-02 15:32:59
53
user9168779034671
user9168779034671 :
poleni
2026-09-03 19:42:19
0
serafinejeruto
Serafine Jeruto :
mmmmmmmmmmmh
2026-09-03 14:32:57
1
dausonelia
Ngwede :
hii inatufundisha kwamba Tumpe Yesu kristo maisha yetu maan Mali zipo tunapata na tunaziacha
2026-09-03 08:06:51
7
khadija.ramaa
Khadija Ramaa :
huyo malehemu anaitwa nani
2026-09-02 16:21:30
13
gabrielstephen902
Gabriel Stephen :
hakuna umbali kati ya uhai na kifo
2026-09-02 17:47:16
14
richie_pondo
Rich :
Kuanzia sasa tunajenga na kuishi humohumo
2026-09-02 14:03:03
21
niko.msigwa
niko msigwa :
Ukitaka kujenga nyumba kwanza angalia nyumba za majirani ili ujue utajenga nyumba ya aina gani
2026-09-02 17:21:05
6
user2338616227665
mariam kingu :
jamani tuache mawazo mabaya,kufa nimipango yamungu,mungu kama hajataka ufe hata waloge vipi hufi
2026-09-03 15:41:46
7
zaina.chaula
zai Salon :
kweli maandiko yanasema Mtajenga majumba nazuri ila hamtaishi Mungu tusaidie
2026-09-02 19:17:20
15
To see more videos from user @jc.africa.watch, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About