Wa 1. mzuri kimaisha oa ruhsa
Wa 2. ndio muhimu zaidi ktk hii dunia yaan upendo ndio unajenga familia Bora na kizazi Bora
Wa 3. pia unaweza kua nao na likitokea la kutokae wao ndio utawalaumu kwa kila kitu
Cha mwisho ni USHARI
SHERIA INARUHUSU WOTE WATATU ILA UMASKINI TATIZO
USIMUOE ATA MMOJA TAFUTA PESA KWANZA LISHA JAPO YATIMA KUOA SI LAZIMA ILA NI SUNNA KWAIYO SIO ZAMBI