@.hbsquare: #hbsquare#rdcongo 😂😂😂😂🙌

HB sQuare
HB sQuare
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 11:19:29 GMT
143832
7968
261
41

Music

Download

Comments

user1572168292922
Maksyo galula :
Kuna ubaya gan mtu kupewa hera
2026-09-02 13:27:20
60
kabaisa786
kabaisa786 :
Tajir yupo sawa
2026-09-04 12:20:00
0
gasparkisinza
GASPER KISINZA :
Ni Aibu...Sio sawa....HIYO NI TAASISI NI KUDHALILISHA MMILIKI NA TOP MANAGEMENT
2026-09-02 19:59:56
24
godesi7
Rama dhani :
wabongo wananja sana 🥹
2026-09-02 12:56:52
17
zaxmid24
ZAX24G :
Haibu utaon wew 😆😆😆😂🤣
2026-09-02 13:22:21
6
user59142179797888
Aman 0749056415 :
mbana hakuna kosa tajir kajitolea yeye mwenyewe kugawa pesa sasa ww unaposema ety anawazalilisha mimi naona yuko sawa kabisa kwahy mwachen
2026-09-04 09:43:30
4
user1815125832315
JKM@189 :
Ila watanzania et hela haikataliwi ila hata mm naon haiko saw maan huwez Kuta vitu vya ajabu kama hivi nchi za wenzetu make hela inakaa benk so kupokea live hivoo🤣
2026-09-05 12:36:01
0
user67158242740430
mbukwa tiki :
nilichopenda ameuliza naruhusiwa kutoa hela hapa live? mm n nani nikatae weweeeeee
2026-09-03 19:16:59
8
dark.taita7
Dark Taita :
Aibu yanini kunaubaya gan kupewa hela
2026-09-05 11:50:38
1
victor__994
Victor :
sasa kunaubayaa gan kuchukua posho ndugu
2026-09-02 14:03:13
9
maviatu2
maviatu :
we nikatae era kisa nini kwene ela inatakiwa uwe mpole😂😂
2026-09-04 07:27:54
5
mussajanuary995
assessment classic :
na wao wapo kazn
2026-09-03 21:45:40
1
kendrick.joseph.ch
kendrick :
awo wapo kwenye kazi kwaio so kesi,je ungekua wewe ungekataa?
2026-09-03 15:36:14
3
jibririjamshidi
jibririjamshidi :
kwani Kuna shida gani kutoa ela
2026-09-03 17:10:42
2
salemmirzah4
Tips :
hela haina aibu
2026-09-03 05:28:40
2
nelvin.japheth
Nelvin@ Location mwanza :
Nani aipendi ela
2026-09-02 13:41:22
2
officio.naee
Officio Naee :
jicho la 3 iphone au....😂😂
2026-09-02 20:44:08
1
xspeed__
xspeed.012 :
Tuko live na tajiri hapa hapa ndani😂😂😂😂😂
2026-09-03 10:50:58
2
oscarmsechu2
JUICE WRLD :
swali linakuja anafanya nini mpka anapata hela zote hilo ni swali na kujiuliza
2026-09-04 06:30:00
1
bright27028
WilB KISAMO :
Kama kupewa Ela nikuzalilishwa, Aje Anizalilishe na Mimi Tafadhaliii🤣🤣
2026-09-05 17:06:10
1
user5295937590207
MESHACK BOE :
sana kaka ety
2026-09-02 12:55:47
4
shaibucakebox
shaibucakebox :
ungekuepo ungeacha
2026-09-03 11:51:47
1
user4524708756957
peter komba :
kweri kaka
2026-09-02 12:54:44
2
user82685453087832
user82685453087832 :
kweli dogo@
2026-09-02 13:26:51
4
jamesulungi
JAMES ULUNGI :
aakuna shinda apo iyo ni kama zawadi ya kazi nzuri
2026-09-02 20:26:34
2
To see more videos from user @.hbsquare, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About