mh tuliyo ingia leba tunaijuwa iyo Hali mungu akufanyie wepesi kipenzi chetu maua sama🙏🙏🙏
2026-09-02 15:25:48
247
baba D✌️ :
Kwa Hali hii tunapata ugumu wa kumtetea wema
2026-09-03 10:25:05
32
lucia🎀🥰❣️🌸 :
Hakuna kitu kinauma kama uchungu😭😭😭😭😭😭😭
2026-09-02 19:22:15
100
it's maggie :
congrats beib gal 🥰🥰🥰
2026-09-03 09:11:05
0
mama boys :
baby boy
2026-09-03 10:04:18
0
Dazur :
Hapa Tunaitikiaga vizuri maelekezo km tunaelewa vile😁
2026-09-02 22:17:59
34
user2038493956179 :
best female artist of all time SAMA
2026-09-03 06:32:32
1
Rasta shark :
sa mbona kama kwa wema kuna mambo hayakua sawa 😭😭
2026-09-03 08:15:48
8
sonaa85444 :
allah akufanyie wepes kipenz
2026-09-02 13:42:57
66
subr🇹🇿 :
me in 8 months why mnamshutumu wemaaa she was right ✅️
2026-09-03 12:17:08
2
annahpetel :
jaman mim bado sjazaa so siwez sema chcht ila pole dear
2026-09-02 21:47:20
17
vimama babe g :
samahan jmn naomba kujua Jna la nyimbi plz🙏
2026-09-03 07:39:17
5
mama haithal :
Allah akufanyie wepesi kipenz
2026-09-02 17:16:52
16
Fetty Issa :
🤣🤣 mmhhpole
2026-09-02 16:24:48
0
malikia wa vibonge👱♀️👸 :
namuombea asipigwe kisu jaman
2026-09-02 16:23:12
16
asy kipwat :
amni Sophia❤️
2026-09-02 20:43:50
1
muux :
nani kamuweza huyu
2026-09-02 17:40:56
6
Pablo escoba.TZ :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu.😁
2026-09-02 18:23:42
8
✨xcottz~org :
tukisema mwaka utakuw wa baraka ndo km hvi alhamdulillah 🙏🙏🤲
2026-09-02 17:41:16
14
muux :
Tanzania hakuna mgumba tn
2026-09-02 17:40:44
13
linah 06 :
nitabeba mimba ili nipate mashavu
2026-09-02 21:32:40
7
winnie :
utamu wa mchezo ndo huuu
2026-09-02 19:20:13
7
🦋🍂𝑀𝑖𝑠𝑠 𝑫𝒖𝒍𝒍𝒂𝒉🦋 :
hilo puto jmn nikikumbuka😔Mung akufnyie wpes inshallah
2026-09-02 14:49:27
12
ann❤️ :
allah akupe shufaaa 🙏🙏🙏
2026-09-02 12:55:22
8
To see more videos from user @bongotrendz1, please go to the Tikwm
homepage.