@badawiy.media: MAWAHABI SASA WAMEFIKIA KUHIMIZA UZINIFU, Baada ya Anaedaiwa kuwa sheikh wa kiwahabi abdall humeid - al maarufu Delile wa mombasa -Kenya kusema MAULID NI UOVU ZAIDI YA MTU KUZINI .. Limetokea kundi kubwa la vijana kuona zinaa ni kitu kidogo mpaka kufikia Kusema watachagua kuzini kuliko kukaa katika kikao cha maulid. Comment ya kwanza ni ushahid wa baadhi ya vijana ambao wamechukua maoni ya Abdall humeid-delile #millionviews #fyp #tiktok #foryoupage #trending
wacheni kutoa votu kwa akili yenu mkaona hili ni sawa mkajiamulia kumbukeni tuliambiwa dini ilikamilikq jamaa tuache kufkiria vitu kwa akili yetu
2026-09-02 16:44:26
1
Tara Fahd :
Shk Abdallah Humeid Allah amuhifadhi kutegeneza Sunnah.
2026-09-02 18:46:06
1
AbūAfrah Muhammad :
na tafadhali... ikiwa mwenyewe hapendi kupostiwa basi kuwa na busara ya kuwasilisha ujumbe
2026-09-02 19:50:58
0
عبدالرحمن :
nam
2026-09-02 15:23:01
1
mrcash :
swali maulidi ni au si sawa kwanza tujua shekh yusuf tuambie
2026-09-02 21:56:46
1
Denyenye :
Postini full statement ya Sheikh Abdallah Humeid. Mwaleta kipande hicho tu ili mulete fitna
2026-09-02 21:37:48
1
Mucha boy :
Mungu amsamehe hajuw km anakosea
2026-09-02 19:57:26
1
lumboz :
kwan amesema bora watu wazini mskitini au zinaa ni bora kuliko maulid. itabaki kua maulidi ni jibidaaaaaaaaa mana ni uzushi mkubwa sanaaa. mtume hasfiwi kwa kupgiwa ngoma
2026-09-02 18:16:58
0
sajid ahmed :
wahabii salaf watapinga kila kitu
2026-09-02 18:31:08
1
Alhamdulillah :
jamaniii Abdullah humeiddddd hana ilmu ya kuzungumza mbele ya shk yusuf abdi
2026-09-02 18:44:04
2
To see more videos from user @badawiy.media, please go to the Tikwm
homepage.