@miliki_nyumba_na_viwanja: 🏡🔥 NYUMBA MPYA YA KISASA INAUZWA – KIGAMBONI FAN CITY! 🔥🏡 Unatafuta nyumba nzuri ya kifamilia, mpya na ya kisasa katika neighborhood nzuri ya Kigamboni? Hii hapa ni fursa ya kipekee! 😍 📍 Kigamboni – Fan City 🚗 Mwendo wa mita 500 tu kutoka barabara ya lami 📐 Eneo: SQM 500 📄 Full Documented ✨ NYUMBA INA: 🛏️ Vyumba 4 vya kulala 🛋️ Sebule kubwa ya kisasa 🍽️ Dining room 🍳 Smart Kitchen 🚽 Smart Toilet ❄️ Full AC 🌳 Garden nzuri 🚗 Parking 🏠 Shed 📦 Store 🛡️ Electric Fence 💧 Maji safi yasiyo na chumvi + Tanki la maji ⚡ Umeme upo 💰 BEI: MILIONI 220 TU! 🤝 Mazungumzo yapo 🔥 Nyumba hii inafaa sana kwa familia inayotaka kuhamia moja kwa moja, pamoja na mtu anayehitaji nyumba yenye standard nzuri katika eneo linaloendelea kukua. 📞 CALL & WHATSAPP: 0746407197 📲 Instagram: @dalali_kigamboni_plots_forsale #DalaliKigamboni #NyumbaInauzwa #Kigamboni #FanCity #NyumbaZaKisasa