wanaume wanatuumiza baba wao ndo sababu ya maisha kukosa nuru....mi pia nimeolewa lakini sipendi wanaume.
2026-09-02 17:16:48
6
Noreen Mosha :
maandiko yamekataa mwanamke asihubir kwasabab tupo emotional sana na tukiumia ndohvyo hatuna hekima
2026-09-03 11:24:56
5
lulu john☑️ :
huyo mama kasema Ukweli Kwa maisha ya sasa wanaume wengi ni wabinafsi kiufupi kumuomba MUNGU upate mwanaume mwenye hofu ya MUNGU baba me nakuelewa lkn wanaume weng ni wabinafsi
2026-09-02 16:26:12
11
Yesu yu hai :
mafundisho ya uyu mama kwa ndoa uwa hayajengi Bali yanabomoa
2026-09-02 15:34:00
7
MJOLI TUU🙏 :
praise the Lord 🙏🙏🙏🙏
2026-09-02 16:44:58
2
user8588173793920 :
hiyo nikwer mungu akubariki
2026-09-02 16:58:02
2
Prisca Mnyari :
Ni kweli kabisa barikiwa dada
2026-09-02 18:06:43
2
joseph mikao :
asante sana mtumishi upo sahihi kabisa
2026-09-02 12:42:57
2
Regina :
Niatari Mungu atusaidie
2026-09-02 12:06:00
2
MASAU MSABI :
baba endelea kumtia nguvu mtumishi wako
2026-09-02 16:04:02
2
laizer :
hiyo nakuunga mkono
2026-09-02 16:34:11
1
Happy Emmanuel :
anaogea ukweli unapo kuwa na chako mtu awezi kukunyanyasa ovyo uyu mama mnamuelewa vibaya lakini anaimanisha maisha ya sasa usibweteke
2026-09-02 19:49:23
2
bby dyna :
me nimeolewa ila hii pia hakunena vema sisi ni kutii inamaana yeye ni boss wangu mimi ni mtumwa natii
2026-09-03 12:36:35
1
effiemamji :
na kwa yule ambaye anahitaji mke wake ajukumike kila kitu hadi kodi ya nyumba,hiyo nayo mwasemaje?
2026-09-02 15:23:50
1
Victor Fredrick :
Amina sana Baba
2026-09-02 13:16:42
0
Elly Elvis elly :
anafundisha nn
2026-09-02 16:46:41
0
Vijoravyajane :
Amina Amina
2026-09-02 13:59:04
1
mulolwa Marlène :
amina amina 🙏🙏🙏🙏
2026-09-02 17:36:11
1
Sabastian Oumaochieng :
Amen
2026-09-02 19:33:18
1
sabby wa YESU :
sema tupone pastor
2026-09-02 11:58:45
1
Naomi mtani :
aipo
2026-09-02 11:49:09
1
my angel :
nikweli kwakizazi hiki tunajua
2026-09-02 12:08:58
1
William 🕊 :
2026-09-02 12:23:13
1
phanice khasiala :
Nafikiri kuheshimu mume wako ndio utumwa, Mungu atusaidie sana
2026-09-04 09:22:02
0
MUTUMISHI WA MUNG :
amin
2026-09-04 10:22:28
0
To see more videos from user @obedjkatunzi375, please go to the Tikwm
homepage.