Translate to English l am from Zimbabwe. I love this son
2026-09-26 06:24:44
8
chirsitina lupia :
wote mlioimba hiyo nyimbo 2juane
2026-09-02 18:54:14
772
❤️uo :
yani utoto ni raha kama kuna dawa ya kurudi ningerudi tuu😂😂😂
2026-09-03 09:38:48
239
Hadiya Khamis :
mm ndiyo naisikiya leyo😁
2026-09-03 22:41:38
163
M.U.L.L.Y :
Kwa wenye mmesikia wimbo Mara ya kwanza tujuane 😊
2026-09-10 11:20:04
137
Sirjay_Africa :
hamuwezi elewa Sio kisima ya kawaida Ni ndoa
2026-09-28 04:45:15
43
Veronica :
2lio imba shule y msing
2026-09-02 19:39:28
83
❤️v.i.r.g.y.K.i.a.r.i.e032❤️ :
ama kisimani n Kwa kina ndoa😹😹😹😹
2026-09-22 11:28:59
18
Edna Ngala :
Sasa haya matumbili mbona ameyapenda😁😁😁 atarudi
2026-09-02 20:30:44
37
꧁༺ ❤️🦋_ANITHA♥️🦋 ༻꧂ :
ndo nmeuskia wimbo Kwa mara ya kwanza but ni mzuri😂🥰
2026-09-16 10:51:19
19
@min dec❤️❤️ :
wenye tumesikia hii wimbo leo kma mmi gonga tukisonga😂
2026-09-19 22:25:45
21
KWETU'TEE NGO's :
tulioimba huu WIMBO TUKIWA watoto, Alf tukakutana nao Depo njooni hapa
2026-09-03 06:00:39
33
Mussa Mhwela :
2000-2006shule ya msingi kisesa 'A'
2026-09-04 10:54:55
12
teklamaiko662 :
jmn nimekumbuk adi shuleni 🤣🤣
2026-09-03 04:43:46
26
Penina mohammed :
🤣🤣🤣ukenkumbusa mbali san
2026-09-02 18:58:17
8
mariamnyange84 :
vitu vyangu hivi😁😁
2026-09-11 12:38:27
6
Silent kirer :
Wale wakidumu na mfagio tujuane hapa
2026-09-05 22:41:31
5
sweet love💘💘 :
unaipataje yote mwanangu akaangalie
2026-09-03 11:29:56
5
kinjoCissy :
Me in YouTube but nothing 😊
2026-09-11 05:59:04
5
Redemption :
Huu wimbo nimeimba sana nikiwa mdogo nasijui nani alinifundisha nyie nilikuwa naupenda mno
2026-09-04 11:48:14
6
🦋Ngina🦋 :
huko kisimani ni Kwa kina ndoa na singii ng'o
2026-10-01 18:03:27
7
🧚♀️👑rim :
oya nimeeimba hadi depo hii nyimbo
2026-09-02 20:17:13
6
🐅👸JULIET❣️(ÑÝÃŔ-ĴŰĹÌŬŚ)ĴŌĤÑ :
I had to go on YouTube to search for the song so that I can download it 😂😂...abeg make no one judge me o...Am still a child infact (Am my parents child o)😂😂
2026-09-07 19:02:28
15
🇰🇪poline mwene 🌹⚘️🔥 :
how old are you my love 💓 😂😂
2026-09-04 11:28:52
6
Mery :
Mimi wa kumaliza bando langu kwa makatuniii😂😂🙌
2026-09-06 09:52:32
8
To see more videos from user @totomelodies, please go to the Tikwm
homepage.