@abdulhafidh575: UKIOTA NDOTO MBYA UKIAMKA TU OMBA DUA KWNZA YASIKUFIKE YALE MABAYA.

Abdul Hafidh
Abdul Hafidh
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 11:55:15 GMT
36888
2690
107
207

Music

Download

Comments

jokha744
jokha :
shekhe mm naota mchana
2026-09-02 13:46:09
3
da.eva3
🦚Da Eva🌅🦋 :
mbona mm nikisema ndo havitokei na nikinyamaza ndo vinatokea hii imekaaje
2026-09-24 22:32:51
2
www.tiktok.comkey16
k :
ostadh mie leo wakwanza naomba nijibu ndoto yangu inapenda kujirudia naota na fukuzwa na simba na napenda kuota nasukwa nini maana yake
2026-09-02 12:01:05
6
salma.matata
sachi stich 🪡 :
ostadhi naomba unijibu na Mimi Mimi naota sana kuusu maji na hayo maji ni yabahari inakuw sunami na mvua Kali na naota ndota hii mara kw mara
2026-09-02 15:07:25
3
user7051908534306
user7051908534306 :
asallamu alikumu sheilk mimi mama angu alikufa kitambo lkn nililala nikaota nimeenda nyumbani namchotea maji mamaangu😳😳😳
2026-09-26 08:04:24
1
user4450598243763
أم عبدالرحمن سالم :
ningepata no yako ya whatsap ingekuwa vizuri
2026-09-02 12:47:14
3
domainexpension20
domainexpension2.0 :
😂😂😂 mnaambiwa msisemi sasa naona kila mtu yuko anahadithiya ndoto yake
2026-09-02 20:33:45
5
fatmakissaga
Fatma Kissaga :
mm niliota nafagia uwanja mkubwa alafu marehemu mama yangu Yuko pemben anaangalia maana yake nn
2026-09-02 19:00:20
1
washfah_beauty_244
Washfah :
Ustadh mimi naska kuuliza kuhusu hizo ndoto za kua upo shule. Vipi mtu anaeota yupo chuoni mara kwa mara yaani MADRASA. Ingawa handing tena pia ameshamaliza mda mrefu au alikata kwenda .
2026-09-12 17:09:02
2
jumaally8638
Juma Ally :
shekhe mimi niliota nipo namtume ila alikua pembeni yangu yani sikumuona sura nanikamuna swahaba umar je nikweli au ndoto za shetani tu
2026-09-14 14:27:27
1
fatuma.hassan357
Fatuma Hassan :
maana yake nn apo
2026-09-09 16:31:18
0
user874049265810
user874049265810 :
ostadh naomba untafsirie ndoto pahali napajua lakn ntapotea njia maana yake
2026-09-26 19:42:09
1
user910865006368
user910865006368 :
Kuna ndoto si za kweli, inaeza kua unawaza na usiku yanakuchanganya upo depressed.
2026-09-02 15:20:05
3
chimammy06
mamu :
mm niliota nafukuzwa na mbuzi mweusi mwenye pembe ndefu..ila nikisimama nae anasimama...
2026-09-12 18:56:18
1
mohamjlhodj
Mohamed ❤️❤️❤️🕋🕋🕌 :
asalam alaikum shekhe. naomba tafsiri ya ndoto ume ona mtu aliye kufa. zamani
2026-09-19 17:21:42
1
kishore.ssme
Kishore ssme :
waaleikum Musallam warahmatullahi wabarakatuh 🙏
2026-09-07 16:21:25
1
shabani.saidi57
shabani saidi :
الله يحفظك🙏🙏🙏
2026-09-02 14:00:54
2
jumaally8638
Juma Ally :
kunasiku naota napaa nasidondoki
2026-09-14 14:31:16
0
queennoor2211
Quuen noor :
Ostazi tusaidie tunaota tupo shuleni tunajiinua vipi kiroho
2026-09-05 14:04:55
1
user681946208514
user681946208514 :
Ostadhi mm nataka no yako
2026-09-07 13:00:34
1
nurash87
nurash :
Nimeota mwanangu kazama kwenye maji nimehadithia jaman kwisha mm🥹🥹🥹
2026-09-02 18:45:33
0
ahmedislam57
Ahmed Islam Alhajri :
Masha Allah
2026-09-02 12:59:10
1
user6257092600443
vee :
nilimuota boss wngu wa zmn kanipa elf mbili kam zwd
2026-10-13 09:55:32
0
hadijahamza423
Hadija Hamza mgua :
ostadh mm naota mafurikomafuriko halafu kutembea makaburin zibajirudiarudia nipe maana ostadh
2026-10-04 13:37:15
0
mindlesstiger134
0xhech :
hapo kwa kuhadithia ndoto mbaya umetupiga. Muhimu kuomba dua
2026-09-02 15:10:08
0
To see more videos from user @abdulhafidh575, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About