@official_sakinah: Maduku duku Yangu 😅😅🖐🖐

Sakinah 🧕❤🔐
Sakinah 🧕❤🔐
Open In TikTok:
Region: BH
Wednesday 02 September 2026 12:02:22 GMT
36369
2662
190
113

Music

Download

Comments

lamia0547
Lamia05 :
Yani nakupenda saaaana Inshaallah nikija tz ntakutafta nikupe zawadi lnshaallah
2026-09-02 17:07:53
9
rahma_daudofficial
𝐑𝐀𝐇𝐌𝐀 𝐃𝐀𝐔𝐃 :
🤣🤣🤣Ngoja nmtumie Madam wako
2026-09-04 22:02:36
6
mwasitlamia
mommy aymar :
mie wakiniita kwanguv mie siitikagi😂
2026-09-02 17:55:46
5
gee54185
gee💗💗❤️ :
mimi nakupenda we mdada jamniiii 🥰
2026-09-02 20:10:32
1
rey_rey.rj
🎀🥀rey🌸🧶✂️✅️ :
wani dei lnshaallah lazm nije nijionee ayo mambo ya uko
2026-09-28 11:38:08
0
zenat5973
madam kajalafrida 🥰🦋💸💸💸💸 :
me naon tu bb wng ungeongea mu kiarab ili dukuduk liwafikieee 😂😂😂😂😂
2026-09-04 12:45:01
1
arsad938
baby nuuman :
ila sakina wape tuu ao😂😂😂
2026-09-02 16:35:06
2
husna.issa.ally
my🌹 :
kweli kabisa
2026-09-02 18:40:01
2
mariamkasanda362
Mamu🌸 :
yote tisa Apoo kwenye mshahara jana nimeliamsha 😃😃 yaan tangu tar 27 mpka tareh 3 nasion dalili za kulipwa weee kwenye hela tutaonana wabaya tu
2026-09-04 06:30:02
2
yasfaty
yasfaty,🇹🇿✈️🇴🇲 :
dada ume sema 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-03 09:59:30
2
husna.husnaa60
hasine😃 :
😁😁😁ongea kiarabu ili wasikie
2026-09-03 07:14:22
4
mauwa798
💓 MY 💓💋 :
Yani umeongeya dad nikweli kbc htr
2026-09-02 16:45:34
2
batooltanzanya
Batuli OMAN :
😂😂😂😂 nimekupenda bure shoga
2026-09-02 20:11:10
2
user3033570056980
𝒇𝒊𝒈𝒉𝒕𝒆𝒓 𝒈𝒊𝒓𝒍🦋🌺 :
naombeni matokeo baada ya kuwekwa stutus😳
2026-09-02 19:28:09
1
user4915742202485
rukia @ :
nikweli kabisa
2026-09-03 06:38:05
1
my.queen0667
My❤️ Queen 🧕🌺🔐 :
😄😄😄😄😄😄😄Bora umetoa dukuduku la wafanya kazi wote😂😂😂
2026-09-06 05:16:03
3
nancy.9.4
Nancy 9.4 :
yaani huyo boss wangu Mimi kabisa nakupenda Bure my dear
2026-09-12 10:31:43
1
atiya_saidi
sweet_@t!y@ :
mwingine😁
2026-09-02 16:41:47
1
user8105068699576
shadiy :
Asante Kwa kuwafikishia ujumbe🤣🤣
2026-09-02 20:14:16
1
johariwaamana
Johari Waamana :
najiunga nawew😂😂😂
2026-09-03 05:24:50
1
official_shuu_husna
🅰️Ⓜ️ 🅱️HUJU :
na kuna wengine wanakutumiya hadi msg au kukupigiya simu hapo kwa mshahara dukuduku liende kwa Madam wangu hiii kwangu imekuwa kero
2026-09-29 14:02:11
1
zuhura.abdallah53
Zurichu💋💃oman🇹🇿🇴🇲 :
waache
2026-09-02 19:20:35
1
nourhayat442
Nour Hayat🥀🌷✨ :
😂😂😂😂 𝐃𝐚𝐝𝐚 𝐟𝐚𝐧𝐲𝐚 𝐮𝐫𝐮𝐝 𝐬𝐚𝐬𝐚
2026-09-04 11:24:55
1
user5018668353930
halima gwelow :
🤣 🤣 🤣 Humu tu
2026-09-02 16:54:29
1
zaituniseif976gmail.com
Zay.life style 💕🥘 :
kwnn umefungia kusave jmn dukuduku langu lipo apoapo 😃
2026-09-02 20:15:39
1
To see more videos from user @official_sakinah, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About