ni kweli lakini sijawahi ona mzazi akiomba msamaha mtoto wake achunge sana
2026-09-02 12:24:23
36
zanuba :
neext party jamani
2026-09-02 12:40:19
2
Mariam Naj :
that is the best decision your made
2026-09-02 12:49:35
1
nimangisi :
Wee mama huko na moyo, yarrabi wajalie wa kina mama kama Hawa mungu hawzidishie.
2026-09-02 12:26:29
25
single lady tz 🇹🇿 💞💞 :
pole mam ila usimuombe msamaha uyo yye ndo ywafaa kukuomba msamaa
2026-09-02 13:02:31
19
kacute bby 💕💕💕 :
Wenyez MUNGU akujalie maisha marefu Mama
2026-09-02 13:18:28
5
Durumaqueen :
mam😭😢why
2026-09-02 12:43:11
1
Khadija :
ndoaenywyasmj☺️☺️☺️☺️
2026-09-02 13:59:29
1
Isimael Karisa :
kumbe wamama wa busara bado wako mama hogera sana 🙏🙏🙏🙏
2026-09-02 13:54:48
8
💔💔 :
Aisha chimako uende kwa mama sawa utu samehe pia sisi
2026-09-02 12:37:55
7
Saumu Alii :
pole mama🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-02 13:00:56
1
mishyy lastyy :
Aisha chimako kama kawaida yangu😁😁😁😁🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️
2026-09-02 12:36:37
3
Mitchelle shafar :
pole mamaa agekua mtoto ulie mzaa hagekujibu hivyo .fadhila zako mungu atakulipa
2026-09-02 12:22:30
5
Mtoto.white.name :
ple mama kwautu uzima wako mama hongera sana
2026-09-02 12:33:15
5
gladys mwalenga :
umeongea kwel mama
2026-09-02 14:06:03
2
#gamyoni brown🌹💕💕 :
mama ogea kiswahili
2026-09-02 13:05:37
1
Baraka :
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-02 13:01:09
1
Pinkluiz :
Mamaetu wa Hekima✍️✍️✍️,Mungu amueke mama.
2026-09-02 14:23:20
3
Aisha jafar :
pole sana mama
2026-09-02 12:49:31
1
Gomara mijikenda ♥️♥️ :
kabisa nakupenda sana mama 💓💓💕
2026-09-02 14:55:31
1
lovely sofiee🩷🩷 :
Sasa aisha ndio alikua akuombe wewe msamaha mama lakini kwa vile yeye hasikii LA muadhini Wala LA mchota maji msikitini Sawa mama ulicho kifanya ni muhimu zaidi ubarikiwe Sana kwa kumsamehe
2026-09-02 13:34:04
4
happyness :
naskia kulia maaaa pole
2026-09-02 12:47:11
3
To see more videos from user @motherwhite, please go to the Tikwm
homepage.