@iamjeenahassan: Dhulma sio nzuri, Allah atalipa tu, stop killing innocent people!!🥹🤦‍♀️Tunaenda wapi My Zanzibar??

Jeena Hassan ♡💎
Jeena Hassan ♡💎
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 12:27:51 GMT
14952
594
30
58

Music

Download

Comments

dda851
Adhnat :
zulma mbaya sana waache wajisahau t ipo cku tutarud kwa Allah na hatutowasamehe walivyotuzulum haki zetu
2026-09-02 19:01:45
7
tumaa130
AL MAZRUI :
mtihani kwa kweli allah atawalipa hapa hapa dunia kwa mambo yao wanayoyafanya
2026-09-02 19:15:06
6
zinjibar.44440
zanzibar ❤️zaman :
SubhanaAllah 😢 zanzibar hakuna haki kabisa
2026-09-03 19:34:09
2
mommy.ayraa6
mommy ayraa :
na yenu mseme
2026-09-17 07:23:31
1
bafanabafana001
slum :
Boss OMO saafiii sanaaa
2026-09-02 21:00:04
4
ali.sule40
Ali Sule :
poa
2026-09-08 19:49:03
1
munasuleyman2
Bombom :
Ndugu yetu aliuliwa na vikosi mwenye kituo cha police bububu sababu shamba la mama etu sheha na naibu wamejusika walikaraa kutupa maiti tukoshe Allahu Yaalam kama walimkosha Allah ampe makazi pema Abubakar sooo sad 😭😭🙏
2026-09-03 14:07:18
3
.bn.omar8
Bn Omar :
sema baba sema baba
2026-09-12 18:25:52
1
bin.fahmy
Bin Fahmy :
omo anajielewa
2026-09-03 05:21:45
3
nawwar.sultwaan
nawwar sultwaan :
😭😭😭😭 Alhamdulillaah hakki haipotei na Allah ndio hakimu wahakki
2026-09-11 06:24:15
0
a2601259
Pemba Nyumban :
Nina imani na ww sana , unajielewa Mheshimiwa
2026-09-04 09:16:16
2
user1477835917592
user1477835917592 :
Hawa jamaa allah atawalipa kwa walilo lifanya
2026-09-14 09:22:16
0
salimalnadaby
Salim Alnadaby🇴🇲 :
2026-09-02 19:54:02
2
user4935233925687
Asha :
sema mtetezi wetu allah akupe nguvu
2026-09-05 05:07:38
1
abu.ahsan.sahim
Abu ahsan sahim :
2026-09-03 04:02:21
2
prohumanity80
Pro-humanity :
daaaaa
2026-09-03 06:05:55
2
professor_diesel7
professor_diesel7 :
msiba
2026-09-04 02:51:24
0
mustafa.ismail18
Mustafa Ismail :
Leo hayoo
2026-09-03 13:27:21
0
user7991171629885
no name :
Allah akulinde ila yana mwisho inshaa allah
2026-09-17 14:50:52
1
gadafi13224
gadafi :
Sichukue ccm ila matendo yao inshaallah yatapita walikuwepo zaidi yao hakika Allah ananguvu
2026-09-03 14:56:32
2
user1799720173591
Bin Ally :
mashaka tu
2026-09-02 18:56:22
2
user9536326036996
khash :
allah tuongozeee
2026-09-02 19:12:50
4
miffy250
Maureen Komba :
😡😡😡😡nzur
2026-09-04 15:26:42
1
user2670046617376
Anco jey..@72 :
wamekaa kimya utadhani hawasikii haya maneno,,,
2026-09-03 18:33:33
0
baby.zedi
baby zedi :
unataka kulipa kisasi?au
2026-09-16 18:34:39
1
To see more videos from user @iamjeenahassan, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About