@fycargotanzania: Part 1 Huhitaji kununua mzigo mkubwa, kuwa na mtu China wala kuwa na usafiri wako ili kuagiza bidhaa kutoka China! 🇨🇳📦🇹🇿 Ukiwa na parcel moja tu, FYCARGO tunakusaidia kuanzia kununua bidhaa, kuipokea kwenye warehouse yetu China, kuikagua, kuisafirisha hadi Tanzania na kukufikishia salama. Anza kidogo, biashara yako inaweza kukua hatua kwa hatua. 🚀 Jisajili sasa kupitia www.fycargo.com na ujiunge na group kupitia link iliyopo kwenye bio. #FYCARGO #NunuaChina #ShippingFromChina #ChinaToTanzania #BiasharaTanzania