@mekicareercoach: All the beeeeest🫡

Career Coach Meki
Career Coach Meki
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 12:36:23 GMT
5344
322
43
26

Music

Download

Comments

mommy_tl94
Latoyaz_kitchen94 :
She was never your friend alitakiwa kukuelewa if u didnt have money but ulionesha your genuine concern
2026-09-02 13:16:37
5
masumbwegamezone
Masumbwe Game zone :
Baada ya harusi huoni tena status zake
2026-09-02 14:53:19
11
justagoodviewer
. :
kuna mtu kanicutoff hadi leo kisa sijatoa ela ya mchango wa harusi laki2 single🤣
2026-09-02 13:21:49
10
vee.aloyce
Vee Aloyce :
Ishawahi nikutaaa
2026-09-02 18:15:08
1
richdeannie
Annieh😍 :
Ningecomment lakini ngoja ninyamaze 😅😁😁😂
2026-09-02 13:16:44
1
tumyscents
tumy scents tz01 :
mm na rafik yangu hana hela na najua hakuchanga kwa sabb she z broooookkeeeee ila alikuwa bampa to bampa na mm nampenda namuombea Mungu siku ampe hela jmn,,,amfungulie njia
2026-09-02 16:01:37
8
phidelinah03
phidelinah03 :
Nilichanga nikashindwa kufika kwaajili ya changamoto ya kiafya kani cutoff
2026-09-03 20:24:35
3
maulaga_
Maulaga :
Mi sichangii mchango wa harusi watajua wenyewe😂
2026-09-02 14:49:07
1
warda.masele
warda masele :
yaani hii mojakwamoja status😂😂😂
2026-09-03 11:18:22
1
itsaries70
ARIES GAL❤️‍🔥🔥 :
marafiki wa sikuizi wamekua wajinga sana m kancutoff kisa huwa namwambiaga ukwel mchungu😂sasa kwann nisikwambie ukwel wakt ww n rafikiangu hutaq ukwel pita hivi siwez kukusugarcoti
2026-09-02 13:27:36
4
aggymaghenda
aggy Molped Arusha :
sichangiagi harusi for real......
2026-09-02 17:38:11
1
mwalinthuli
mwalintuli :
kuna rafiki yangu alinicut off kwa sababu ya mchango....nilikuwa napilita kipindi kigumu...miaka 10 sasa 😂😂😂😂😂😂
2026-09-03 08:58:06
1
dadysfav
linda :
Ni kweli coach, rafiki anaweza kushindwa kuchangia. Lakini kumwambia mwenzio kwamba rafiki yangu nimekwama, ni vizuri. Ila kukaa kimya tuu husemi kitu? Sio sawa.
2026-09-02 20:05:24
3
perrykenny3
Pelly :
Kuna watu unawachangia the tym ameolewa ndio anaona hatakuwa na shda wewe tena mh 😏
2026-09-02 18:08:22
1
allyjuma35
allyjuma715 :
🥺🥺🥺
2026-09-02 13:07:47
1
To see more videos from user @mekicareercoach, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About