@juice_asilia: Harufu nzuri na ladha tamu kwenye kikombe kimoja!❤️ VIAMBATO: Kijiti 1 cha mdalasini Punje 3–4 za karafuu Orange ½–1 Maji ya moto JINSI YA KUTENGENEZA: 1. Weka kijiti cha mdalasini kwenye kikombe. 2. Halafu weka punje za karafuu. 3. Kamulia chungwa ndani ya kikombe. Mimina maji ya moto, halafu acha chai yako ijichanganye kwa dakika 10–15 ili ladha zote zichanganyike vizuri. Baada ya hapo, chai yako iko tayari kufurahia. Utaijaribu hii recipe? Nambie kwenye comments Save 📌 hii recipe na mtag mtu anayependa chai! #clovetea #cinnamon #tea #healthytea #fyppppppppppppppppppppppp