kaongea ukweli mtupu
vijana wanakimbilia kuoa ndoto zao zinazima mojakwamoja
2026-09-20 04:03:36
23
chambo :
mpe dogo pole
2026-09-19 12:48:54
8
JC@macha :
sikuhizi kati ya ndoa 100 ndoa moja tu ndo wanafuraha🤣🤣🤣🤣
2026-09-20 21:19:58
6
jackobsanga485 :
Yuko sahihi big up brother
2026-09-19 20:54:30
1
Toba safi :
kwaio usipo oa ungeleft group au
2026-09-20 15:37:11
7
JOSEPH THE GREAT :
marriage is a scam
2026-09-19 22:17:39
4
Meshack Nkya :
bwana yesu asifiwe ndugu zangu 🙏
2026-09-19 12:51:48
13
𝙼𝚒𝚌𝚑𝚊𝚎𝚕 𝚊𝚠𝚊𝚍𝚑𝚒 :
dah inaumiza moyo san ndiyo maan wanaume tuna kufa haraka kutokan na msongo wa mawazo
2026-09-19 18:24:06
11
Danny Malpesa :
ad nmetamqn kulia yan
2026-09-19 20:34:33
5
Mau Vijora :
acheni kupotosha watu nilazima kuoa tukumbuke kunamoto jama tutazini mbaka lini kweli kunamitian iyo nimitiani tu ila mm siwezi kusapoti tukumbuke mungu mitiani katupa ss ili tujifunze
2026-09-16 19:55:38
12
Hk 6% :
kwanini kila alieoa anatushauri tisioe shida nini
2026-09-16 11:49:34
10
B.I.G :
Hata mm siwashauli kuowa ila jitahid kuwa na mtoto kijana.. utanishukuru..🙏
2026-09-17 23:15:07
10
🥹JUNI B 🥰😥 :
bado nipo nipo kwanza
2026-09-02 12:49:19
6
JM H.L :
jamani mimi sioi🤣🤣🤣
2026-09-02 12:44:30
7
Cleophace :
wachache tunamuelewa jamaa
2026-09-20 19:24:20
8
Ochuzzy :
kaongea ukweli usikimbilie kuowa wakati ujajipata
2026-09-02 15:42:02
6
POWER RALSONI :
Nasoma coment
2026-09-02 12:55:52
6
🥹JUNI B 🥰😥 :
nasoma coment
2026-09-02 12:48:44
5
sole :
mi first half nilianza kununa lakn second half imebidi nicheke[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-19 14:02:26
5
Mwanzo :
hamjui raha ya ndoa niulize mimi
2026-09-16 04:54:00
7
To see more videos from user @junib9, please go to the Tikwm
homepage.