@powertalksafrica: #Historiayauchaguzihuu👇👇👇. Katika Historia za uchaguzi ,huu nao ulikuwa uchaguzi mgumu kuwahi kutokea katika historia ya chama cha mapinduzi ni kama ule wa Mwalimu nyerere kumpisha mzee mwinyi (mzee wa ruksa) kwasababu ya mfumo wa vyama vingi. Ma Gan'Z , Unafanana pia na ule wa rafiki yake jakaya mzee lowassa kukatwa jina lake na kupewa Dr magufuri. Uchaguzi wa 1995, Inasemekana mzee kikwete alishinda tena kwa kishindo lkn yakatokea yakumtokea mzee kikwete. Halmashauri kuu ya CCM ilikata jina lake ikiwa sababu kubwa ni umri wake, Akaambiwa subilia kijana muda wako utafika. Na mzee hakua na hiana kabisa, hakuwa na jau, alijua simba mwenda pole ndio mla nyama, Alijuwa ukiwa mroho kama fisi utapasuka tumbo mapema Naam, Akapewa kijiti mzee Benjamini William Mkapa kupeperusha bendera ya chama cha mapinduzi naye Alishinda kwa kishindo. Na mwaka 2005 Mzee kikwete alichaguliwa kuipeperusha bendera ya chama cha mapinduzi naye akashinda Uraisi wa JMT baada ya mihula miwili ya mzee GenZ, kipi umejifunza hapa. Wazee wa zamani kama nakosea mnikosoe tu. Cc- TBC1 #mwalimuwakiswahilinahistoria #Powertalksafrica #prideoftanzania🇹🇿 #tanzaniaimara🇹🇿

Mr Masanja JR
Mr Masanja JR
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 12:49:36 GMT
6811
108
4
24

Music

Download

Comments

user39465111074
jingu :
good,
2026-09-02 13:42:32
1
fimbo773
""The Matthew Jr"" :
Kwa wakati huo,bila shaka alikuwa mdogo kuliongoza taifa.....!!
2026-09-02 19:32:47
0
user24024190945116
user24024190945116 :
Sio inasemekana ni yeye aliongoza kura za maoni 1995🙏🙏🙏🙏
2026-09-02 18:46:12
0
user9757558705663
peoples favourite :
Nyerere alishituka toka mwanzo
2026-09-02 17:21:07
0
To see more videos from user @powertalksafrica, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About