@cocofm: UKOSEFU WA MAJI WAZIDI KUWAKERA WAKAAZI WA KILIFI Wakaazi wa kaunti ya Kilifi wanaendelea kutaabika kutafuta maji safi ya matumizi majumbani huku wakiitaka serikali ya kaunti kufanya juhudi za kutatua tatizo hilo. Hii ni baada ya shirika la kusambaza maji pwani - Coast Water, kusitisha huduma zake kwa kaunti za Kilifi, Kwale na Taita Taveta kutokana na malimbikizi ya madeni. #MionziyaCocoFM #COCOFM #ladhayapwani

COCO FM
COCO FM
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 02 September 2026 12:54:35 GMT
12928
581
31
48

Music

Download

Comments

ibrahim.hassan586
Ibrahim Hassan :
imagine apo Kuna governor, chief officer wamaji na director apo....na team/ board nzima ya maji Iko hapo.....then end month bill wanaleta bila maji.... what's really going on
2026-09-03 07:51:57
2
mwanawajumaa
️Mwana wa jumaa :
Janga hili sijui litaisha lini yaani
2026-09-02 14:55:45
7
user834977011614
user834977011614 :
Ruto tutam Mung'aro tutam wacheni watu wa pwani wateseke ... wanasema serikari ya ruto iko sawa
2026-09-03 13:27:10
2
bigi..7
pilau safiiii :
baha jumwa
2026-09-02 17:45:56
5
mallydiva
maly diva :
Ni kwl jamani maji yanatutesa
2026-09-03 05:08:47
3
useradriana63
BARBIE💋🦋💖👑 :
Hii shida ya maji halafu baadaye wanakuletea bill imagine
2026-09-03 06:29:23
1
fatmafatma5691
Fatma Fatma :
Mimi hata wamenisinya kbsa,,na week sijaoga
2026-09-03 11:51:55
0
janetmbeyu3
Janet :
wantam muharo home 2027
2026-09-02 14:11:30
2
missphee3
Phoebe 💫 :
Eti hatulipi maji surely
2026-09-03 12:02:33
0
dullah082
Bin Said :
Yaani tuko na Bahari alafu twahangaika na maji!!? Viongozi wetu walai sana
2026-09-02 19:20:37
2
vidzo36
vidzo :
shida ya maji sijui itaishi lini
2026-09-03 07:54:03
0
khadijaomar247
khajoo :
watu wataanza kuandamana mpaka walipe maji turegeshewe maji😳
2026-09-03 09:36:36
0
nurunapasha
[email protected] :
Kwahiyo hata kuwavutia Yale maji ya chumvi hawawezi...ama hata kuwachimbia mabole hawawezi jamani hii serikali kwani Ina shida gani basi kutwa mambo ya maji tu
2026-09-03 11:10:48
0
basomo7
hassan :
Baha Jumwa
2026-09-02 16:49:07
1
jimmy.carter.254
jimmy Carter #254 :
broadbase
2026-09-02 14:24:23
1
user0141908355
DENI LA MCHINA :
baha jumwa
2026-09-02 14:24:49
1
user9506245529618silvia
Sylvia 254@ :
jumwa kukira be fukaoya😁
2026-09-02 17:08:39
1
mijikendanomad
Mk Nomad :
Huku kaloleni hata tulizoea, mungaro 1 term.... Hatupigii mtu muongo kura
2026-09-02 13:17:51
4
bigi..7
pilau safiiii :
kimwasco mufunge hizo ofisi
2026-09-02 17:49:10
1
alphanomargmail.com
@khalfan3399😎 :
umaskini mbaya
2026-09-02 13:56:38
1
thadeous0
user3379636619373 :
Mungaro anafurahia akiskia watu wake wanateseka maji😂
2026-09-03 08:15:45
0
erriebee
erriebee :
nani anasema tutam😂😂😂🤣🤣
2026-09-03 13:42:27
0
hosimbo
Harriet Osimbo :
Baya, you now realise water is a constitutional right, this world amazes us. what development track record on the rights you are talking about have you ensured the poor communities under your watch enjoy when they can't afford basic needs
2026-09-03 17:29:36
0
billionairekhadija
. :
imagine hii maji hon Bedzoro anatoa bure kwa ward yake ya magogoni ward ktk county ya mombasa. njooni huku mchukue kura mpate uhai bure kutoka kwa kiongozi wetu Bedzoro
2026-09-03 18:55:48
0
To see more videos from user @cocofm, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About