@simukitaa: Who Will Survive 72hrs? (EP 4).. Challange yetu itafanyikia kijiji cha maajabu Au @villagecalifonia inayopatikana tegeta Njia ya wazo, Na Hiyo Nyumba Tuliowaonesha inaitwa Fullmoon je! Unadhani Ni Nani Ataibuka Kidedea Na Kuondoka Na 1,500,000 ? Wameanza 10 Na Ni Washiriki watano tu watakao ingia Kwenye Jumba La Maajabu unadhani Ni Nani Na Nani? Tunawakumbusha Tu sisi tushaanza Kupokea Pre Order Za iPhone 18 Series Kwa Wanaotaka kupata hizo simu mapema .. Unasubiri nini mwanakitaa?!!! Call/Whatsapp 0712858344 Tunapatikana Sinza Mori NB; IPHONE 17 PRO MAX SHOT IT NA SAUTI NI YA HOLLY LAND MIC #whowillsurvive72hrs #iphone18

Simukitaa
Simukitaa
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 12:58:57 GMT
9911
1056
75
13

Music

Download

Comments

morensy12
morensy@12 :
challenge ya 7 days naomb niwe wa kwanz
2026-09-02 13:17:32
0
azerychuhila0
Azery chuhila :
hakuna wanaochit challenge
2026-09-02 16:14:09
0
gamamussa
gama :
nashauri muwe live ili tuwe hatua kwa hatua mashabiki
2026-09-02 13:11:27
11
user1581372017907
The hot man :
video unatoa baada ya mda gan
2026-09-02 13:07:59
1
swaisarah
swaisarah :
next plzz
2026-09-02 13:28:08
0
___r.e.y.__
___r.e.y.__ :
Hicho kiti hichooo 😁😂😂😂
2026-09-02 14:40:15
3
ladygg18
Lady G 18 :
Nilivyo Isubiri kwa hamu 🥰
2026-09-02 13:05:03
6
treasuresfootball10
itz asik mahnsur 1🥶😎☠️ :
mwana simukitaa jina la apartment nakuomba jina tangu ile 48hours nisaidie mwanakitaa😅
2026-09-02 13:21:34
1
brenda.stanley42
Brendah22 :
nauliza hicho chumba mbona kina pingu 🤗
2026-09-02 13:20:13
1
dickixoninovembar
Dickixoninovembar :
hahahahah leo umewaweza icho chumba ulivyo kibadili
2026-09-02 14:04:56
2
savage77_8
savage77_8 :
Icho chumba nimekipenda😂🥰
2026-09-02 13:05:40
0
teevah20
TeeVah 🌹 :
mwanakitaa icho chumba nichanini
2026-09-02 14:31:36
1
rayfortunatus
Rebeccah~0 :
Icho chumba laah😂🙌
2026-09-02 14:42:16
1
adesam563
adesam563 :
mimi ningeingia😂😂😂😂😂weeeh embu challeng ijayo nisikose na mimi🔥🔥
2026-09-02 17:14:08
0
iambeatrce
@officialbeatrice❤️‍🔥🦋 :
Yan ikipita nususaa lazma nichungulie uku😁
2026-09-02 13:33:47
0
anniejerry_12
annie 🦋🌹 :
wa kwanz afu au like ndio nn 😳
2026-09-02 13:05:55
0
jay_cob..angelin
Jay_cob. Angelin :
Kaka nakuombea kipindi kipate Tv
2026-09-02 17:34:37
0
user27502835815210
betterhelthvibe :
ivi kwa nn msiiiweke kwene CHANEL YEYOTE tv
2026-09-02 13:40:20
0
nadhmal6
Delicious 😋 :
htr
2026-09-02 16:53:13
0
afro_collection23
AFRO :
Mwanakitaa hicho chumba sio cha masomo ya kawaida😆😆😆
2026-09-02 20:12:52
0
thierryhenry522
thierryhenry Gg Official :
Bongera mov aisee
2026-09-02 18:33:58
0
deechummy
Rebby Sumiye🥰 :
awam hii ni ya motoo
2026-09-02 19:22:50
0
breezy0441
Breezy..99 :
kidogo kwa mbaaaaaaaaali
2026-09-02 18:04:12
0
bihuluomar
bihuluomar :
mara hii mambo ni 🔥
2026-09-02 17:31:47
0
To see more videos from user @simukitaa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About