@peterpain255: #creatorsearchinsights #tiktokpet

peterpain255
peterpain255
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 13:21:34 GMT
27019
849
186
22

Music

Download

Comments

user6613678573327
jackline simbila :
chadema wanahusima kaka usitetee
2026-09-03 07:12:55
3
godfreytowo6
GodfreyTowo :
alafu bado hajakamatwa
2026-09-03 05:06:16
18
jay.my.g
jay my G :
kama alihusika mbn hajakamatwa😂😂😂😂😂
2026-09-03 10:25:36
18
daudi.lutambi3
Daudi Lutambi :
KAKA ELEWA HAKUNA MSAFARA USIOKUWA NA KIONGOZI
2026-09-03 06:49:05
2
user6198671062061jojo
jojo :
nikweli walipanga na tuliumia ila kilakitu kina garama
2026-09-03 18:02:33
1
mylifestillmylife
My Life Still My Life :
Ifikapo 2035 kutakuwa na watanzania ombaomba wengi na wategemezi kwa sababu ya siasa za hovyo na vijana wengi wamejikita huko na kuacha kujikita kwenye shughuli za kijamii na kiuchumi na kusahau serikali haiendeshwi kwa TikTok
2026-09-03 18:57:47
4
magesiahmedakida
Bin Ahmed :
kama alihusika mbona hajakamatwa
2026-09-03 07:11:25
2
suleimanali255
Suleiman Ali :
chadema ktk vurugu haiwezi kukwepa
2026-09-03 05:14:18
0
rasteryd
rastery Davs :
inavyo onekana alipangwa aongee hivyo ila Wakili wa serikal apate point ya kusema
2026-09-03 10:27:38
6
user865711628378
29kabili@2025 :
mm mbona nilikuwa kuandamana na sikuwa na mawasiliano na yeyote nienda kuandamana kwa ajili ya kudai haki.
2026-09-03 04:32:48
5
meshabui
meshabui :
ao n askali kak wamrvalshwa jez kaka 😔
2026-09-03 06:41:39
0
erick_mgeta
𝔼ℝ𝕀ℂ𝕂 𝕄𝔸𝕊ℍ𝔸𝕌ℝ𝕀♻️ :
Yaan wanafikili raia wa sasa ni wa mwaka 1961 ujinga mtupu
2026-09-04 10:57:29
2
godwinyohana0
godwin :
ndo pesa za lumumba
2026-09-03 06:24:49
2
kasii487
kit .b :
hizi TV nilishaachaga kuziangalia kabisa
2026-09-03 16:39:00
1
yusuphmdaki6
Yusuph mdaki :
kwa nn asitoe hio krip kabla ya kesi anaitoa wakati wa kesi??,, angeenda Police kwanza kabla ya kuita press kama kweli anataka kusaidia taifa .alipewa na nani?? amtaje jina halisi
2026-09-03 16:52:31
1
raynor5575
Raynor5575 :
kaka hii fedhehaa
2026-09-03 06:41:48
2
velxempire
Merck Charlsy CM :
Lissu kakamatwa mwezi 4 matukio yametokea 29 mwezi 10 how😂?!
2026-09-03 07:40:08
3
user6613678573327
jackline simbila :
kwani mange SI mfuasi wa chadema
2026-09-03 16:08:49
0
igimbizakaria0
barakaellymungoe :
wanamuacha mtuhumiwa uko nje alaf
2026-09-03 05:52:40
2
t555dpt
Chenga :
akili kubwa kaka tupo pa1
2026-09-03 07:52:40
1
adamtito905
CHAWA WA MUNGU :
ngoja nile ugali nilale mi rais wangu Ibrahim troule
2026-09-03 20:33:57
1
new.life5050
japanlife :
hii nchi inaendeshwa ki drama drama inasikitisha mno Yani tunapoenda sio pazuri
2026-09-03 07:11:42
4
shamte.bakari3
Shamte Bakari :
hivi sialitakiwa akatoe ushahidi au
2026-09-03 06:21:35
2
user6294321628058
user6294321628058 :
Sheria unaijua??
2026-09-03 07:04:00
1
boniface.robert3
Boniface Robert :
@upo vizuli sana
2026-09-03 04:52:13
1
To see more videos from user @peterpain255, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About