@nyebowsa_media: “BARAKA NYINGI” YA MWANA FA STUDIO SESSION Hapa tunawaona mastaa waliokuwa sehemu ya mchakato wa kutengeneza ngoma hii, akiwemo Mr. T Touch, Salama Jabir, Abba, Mocco Genius na Big Chawa. #nyebowsamedia #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #mwanafa #tanzaniantiktok🇹🇿