mbona hamusemi kuhusu nchi zetu hata sisi tunalasirimali lakini hatuoni maendeleo Kila siku tunakopa madeni wakati tunalasirimali za nyingi, mnasema matatizo ya wenzenu mnasahau kama sisi tunazo raslimali na hatuoni zinaenda wapi.
2026-09-02 16:46:33
0
@Official Jacob :
Barikiwa sana sister hata me nilivyoona ile clp sikuielewa kabisa wew umetuelewesha vizuri had raha
2026-09-02 17:04:55
0
362079 :
hupo vizuli
2026-09-02 14:07:37
0
Ramso :
mm ni muislam .napend twe wachumba
2026-09-02 15:21:31
0
Atta :
Hayo ni mawazo yako tu siyo lazima tukubaliane nayo,,,, Marekani ana hesabu kubwa tofauti na mawazo yako ya chuki dhidi yao sister,Marekani wanaweza kukutengenezea waasi ili wapate chance ya kukuingilia kama wasuluhishi wanachukua chao na wanapita hivi sasa wanashindwaje kumdhibiti mtu anayemcontrol?
2026-09-02 17:18:42
0
Kham :
dada natak kujua trump anamiaka mingap toka kuanz madarak y urais namanisha kabakish miak mingap
2026-09-02 15:43:53
0
kasian562 :
nilichomwelewa farhan ni kwamba USA anafanya mazingira ya kupata masrah tu na sio kutuliza ghasia za watu wengine
2026-09-02 14:06:32
0
MD Uwais :
😊😊😊😊
2026-09-02 16:15:29
0
ENG Juma :
Ajui kitu uyo Jamaa chanzo cha matatizo yote Africa ni marekani na washilika wake Ajui muamali Gaddafi alicho fanywa na mmarekani 2011
2026-09-02 17:52:34
1
To see more videos from user @rachelrobinonlinetv, please go to the Tikwm
homepage.