@bibleverse8798: “Si kila anayesafiri nasi ndiye anayekwenda nasi mpaka mwisho; wengine huondoka ili kutufundisha thamani ya wale ambao Mungu amewakusudia kubaki.” ✨🙏
waache waende ila akikisha unawaonyesha upendo waondoke wakiwa wanaamini kuwa unawapenda ili kuepuka kua adui kwao maana wanapoenda kunaweza kua ndio daraja kwako la mafanikio. upuka kutengeneza maadui maana kesho yako nifumbo kubwa kwako
2026-09-02 23:47:00
7
MC.LAST BORN :
Amina
2026-09-02 17:44:39
1
Restuta 💞💞 :
Amen
2026-09-03 17:37:58
1
priscah :
Amin sana
2026-09-03 20:05:38
1
Princess Dayana Benjamin Suku✨ :
Amen 🙏
2026-09-03 12:59:55
1
mulokozi daughter :
Amen🙏
2026-09-02 21:47:50
1
To see more videos from user @bibleverse8798, please go to the Tikwm
homepage.