@pika.na.mimi: Replying to @precious Kwanza kabisa, hakikisha unachemsha viazi vizuri lakini visilegee sana. Baada ya kuchemsha, hakikisha viazi vimekauka vizuri kabla ya kuvisaga ili visitoe maji mengi. Pia ngano ya juu usiiweke nyepesi sana, iwe na uzito unaofaa ili kachori zisipasuke. Na mwisho, hakikisha mafuta yamepata moto wa kutosha kabla ya kuanza kukaanga. Ukizingatia hayo, InshaAllah kachori zako zitakuwa nzuri na hazitaharibika ❤️🥰#PikaNaMimi

pika na mimi
pika na mimi
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 13:56:09 GMT
96440
2807
44
117

Music

Download

Comments

nanaahlittle
Milo 😍 :
Habbty Nifindishe shira ya kaimat znamumunyuka kupika naweza shira tu ndo changamoto
2026-09-02 14:49:23
3
gracious7465
Gracious :
mm nikiweka viaz kwenye rang vinasambaa hata nikiweka kwenye mafuta vinasambaa
2026-09-11 08:32:16
2
babe_girl446
le cruz :
UNGA mwepesi unakuja kipnz ukiona kachor zinchambuka ukichoma
2026-09-03 07:46:18
6
user6578701681091
Habibul ummah ❤️ :
kam unatak kachor zisimunghunyike kweny mafuta viaz visivurugike ikisha choma kwa moto mkal kdg ukishageuza tu kachor usikae san itoe kwa ujuz wang
2026-09-03 05:10:40
6
mwajey898
mwajumahamad :
tupo wengi
2026-10-12 16:16:48
0
nyambalike8
madam.com :
kumne tuko weng wahanga wa ilo
2026-09-21 06:56:41
0
fetty.cool8
Fetty Cool ❤️ :
jamani kuhusu rangi ukienda dukani unaulizaje mi sijui
2026-09-09 09:25:52
1
fatush.muhdhar
Fatush :
kabla hujavikaanga ziweke kachori kwa fridge kwa madakika ya kuhesebu
2026-09-16 14:04:41
0
user44202830024987
fina@1234 :
mafuta yapate moto haswaa
2026-09-03 11:07:26
3
joycemandy528
joycemandy528 :
had mm nlipika zikamwagika sikutamn tena
2026-09-21 17:35:46
0
ashaseidy
Asha seidy👄🍹 :
ahsante jmn nmewz leo kuzipika bila kusambaa kweny mafuta
2026-09-03 08:17:51
3
rayaabdulrahman28
Raya Abdulrahman :
moto unatakiwa uwe mkali wakat wa kichoma
2026-10-25 14:55:06
0
icedoll116
madame :
mm mwenyewe vilisambaa kwenye mafuta twicely
2026-09-21 20:45:10
0
user4083093163356
Madam zu😘 :
Habari mfano ukaweka mayai mbadala wa maji inakuaje?
2026-09-12 11:18:43
1
user6705193461157
kira's doughter :
mwali hapo lazima nielewe
2026-09-08 15:30:54
1
bambam_bites
Bam Bam Bites :
pia usiziache sana jikoni wakat wa kuchoma
2026-09-03 18:20:51
1
amonlqnnnxk
precious :
asanteni sana jamanii yaaaaani nimehljaribu na nimewezaaaaa
2026-09-03 05:19:23
0
fatush.muhdhar
Fatush :
ukiziweka kwa fridge hazitamumunyike wakati wa kuchoma
2026-09-16 14:06:35
1
user225964428
azizfifie :
😂😂😂😂😂unga na ukikosea viazi pia
2026-09-03 12:30:03
0
user4041622250813
Noah's boy :
mashallah
2026-09-04 10:59:34
0
rahma.kisinde
Rahma Kisinde :
me nimependa kaswida
2026-09-07 11:42:32
0
neema9705
Neema 💖🥰 :
mwali mwenyewe ndio mm 😂🥰
2026-09-06 15:48:21
0
mudakiungo2
Mudakiungo27 :
Mashllh ❤️
2026-09-06 12:43:54
0
qenvivob3
Dad’s~Qen🩷🌸 :
Nawez kukek n mayai??
2026-10-28 11:53:52
0
nayfat11
nayfatsalim :
hivi kutia mayai kwenye hiyo Ngano inasaidia nn mana wew hujaeka ila kunamtu nilimuona kaeka
2026-09-03 06:10:14
0
To see more videos from user @pika.na.mimi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About