@nijuzenews: Wakili Madeleka: ‘Mtu yeyote anayewachukia wapigania haki ni mchawi’ Mpigania haki maarufu nchini, Wakili Peter Madeleka, ameyasema haya Septemba 2, 2026, jijini Dar es Salaam, wakati akimkabidhi mjane Asha Mbaraka Said, Shilingi Milioni 1 za matibabu ya mtoto wake anayesumbuliwa na ugonjwa wa figo. Subscribe kwenye YouTube Channel yetu kwa habari motomoto>>> https://www.youtube.com/@NijuzeNews Subscribe kwenye WhatsApp Channel yetu>>> https://whatsapp.com/channel/0029Vb6s4M91NCrctJX2YG2u
Nijuze
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 14:02:18 GMT
Music
Download
Comments
baba paroka :
haki ya kuhamasisha maandamano na kuchoma na kuiba mali za watu.
2026-09-02 14:41:03
1
JB young boy27 :
samahan naomba kujua kesi yake imefikia wapii guys please someone tell me 🙏🙏
2026-09-03 20:29:37
1
""The Matthew Jr"" :
Hivi ni nchi gani ina haki duniani....!?
2026-09-07 13:43:36
0
×× :
Nakupenda sana kaka Mungu akutunze
2026-09-02 18:16:55
4
KANEJA MANGARU :
What a word 👌🏾
2026-09-03 09:51:25
0
Ibu 56 :
mwanasheria mwenye akili timamu ni madereka tu
2026-09-14 08:39:12
0
SHABANI STORE :
Nimesoma comment zote
2026-09-04 12:23:57
0
sethtanda :
nakubali sana wakili msomi
2026-09-02 20:11:40
1
aleksanda josefat :
100%
2026-09-10 19:02:04
0
El francoo :
mungu akulinde kaka..madeleka wengi zaid wazaliwe ili tufike kwenye aman ya kwel
2026-09-09 11:11:30
0
Bahati nzowa :
Madeleka Mungu akulinde sana
2026-09-05 05:16:22
0
Vicent Matunda :
mungu akulinde
2026-09-07 15:05:25
0
Baba Yuu :
@nikweli
2026-09-03 13:28:09
0
Kareem trossard!^ :
2026-09-08 16:37:12
0
Katemi :
safi sana
2026-09-04 07:02:39
0
Nita's baby :
sawa
2026-09-11 10:15:59
0
Chaz nation 🇯🇲 :
first comment
2026-09-02 14:13:48
0
dudu baya :
true
2026-09-02 21:13:43
0
berthaallenmassaw :
Mahosiptalin bado maiti inadaiwa. huwezichukua mwili bila kulipa hela sisii tumedaiwa mpaka senti ya mwisho
2026-09-02 21:54:10
0
eddo4041 :
wakili madereka me nakukubar sana shujaa wetu
2026-09-03 05:39:03
0
Enock Makoga :
ukweli mchungu ambao ccm na serikali yake hawataki kusikia kabisa
2026-09-14 11:27:08
0
kabaisa786 :
Kweli kabsaaaà mwambaaa
2026-09-03 05:52:35
0
steer kamaaley :
ni kweli wale wasiopenda haki ni wachawi
2026-09-03 03:22:56
0
vinny driver :
madelekaa n yule yule 😊😊🫡🫡🙏
2026-09-02 16:33:41
1
To see more videos from user @nijuzenews, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.