@bishir_1: Usirudishe mpira kwa kipa#swahilitiktok #oman🇴🇲 #saudiarabia🇸🇦 #qatar🇶🇦 #kuwait🇰🇼

Doctor Gulf ✅
Doctor Gulf ✅
Open In TikTok:
Region: CH
Wednesday 02 September 2026 14:04:10 GMT
14328
1754
202
116

Music

Download

Comments

user4966900741134
user4966900741134 JB :
kak mi natk kubadilisha nyumb hap bss ten 😢🙌😭
2026-09-02 18:18:09
9
ameena.ameena468
Ameena Ameena :
kaka.kuchoka.kazi.nyingi.sana
2026-09-02 17:42:20
7
thima.viviane
thima viviane :
nikweli
2026-11-18 09:29:50
1
dadia.abdi4
Binty Nasoro :
sirudi mpaka kieleweke nimekuja kutafuta matatizo au changamoto kila sehem zipo kikubwa uzima tu 🤲🤲🤲
2026-09-02 17:59:49
15
user14639077439045
Aysha :
Kwa kwel mungu azidi kutupa uzima yaan mm kurud nyumbn mpaka kieleweke japo Kuna muda nawamiss wanangu lakin nasema Allah nilindie wanangu nipo napambana Kwa ajili ya kesho Yao iliyobora
2026-09-03 06:32:37
8
yasmine.j4.ngwadi
Yasmine j4 ng'wadi :
mi nataka nikaolewe umri unaenda eti 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-21 12:34:41
1
lovely.girl76313
lovely girl♥️ :
sina sababu za kunifanya nikate tamaa,Bali nina sababu za kunifanya nipambane tuu ✍️
2026-09-02 15:32:15
8
user2818014873161zzouh
zulfa mandia🇹🇿🔥🌹🇦🇪 :
💪💪💪💪hakuna kurud mwendo wakubadilisha nyumban
2026-09-02 16:18:45
8
umilimumin
umil muumin :
yaaan nakukubali sana broo
2026-09-07 05:36:50
3
thereal_queenbeejojo
👑Queen Bee Jojo🐝 :
kwaiyo ufie uarabuni kisa maisha Kuna Kuna maisha tofauti na arabuni ww kama umejariwa pumnzi afya nguvu pambana changamoto ni sehem ya maisha ya utafutaji kama afya yako ime goma au afya ni nzuri ila unaona mitihani imezidi usijiue kisa waogopa kurudi nyumbani huna pesa ni kheri kurudi mzima utatafuta njia nyingine kuliko kurudi una shida Kuna vya kuvumilia na Kuna vingine havivumiliki sikiliza sauti yako ya ndani maana baada ya hayo maisha yanayo taka kukuua ukifa maisha yaendelee hao unao tafutia ukiondoka au kulala kitandani maisha Yao yataendelea ikifikia hatua Hali imegoma rudi nyumbani usihofue nani atakuonaje nani atasemaje ww Wala akauti Ina bei gani maana Kuna sehem utaingia mungu ajaoanga tufanikiwe kupitia sehem iyo mitihani itakuwa mingi ukiona imezidi juwa mungu nae ana kusudi lake siyo kalazimisha vitu mkiwa mnawapa watu moyo mwambie pia Hali ikizidi wasiogooe kurudi nyuma kujipanga upya hata vitani vita Ina mambo mawili kushinda au kushindwa na kikubwa uzima wako afya yako
2026-09-06 17:51:26
7
barnabas_17
kiba donni 17👑👑👑_🇴🇲🇴🇲 :
kwelli brother pamoja sana
2026-09-02 16:14:13
3
reylove214
💫REY👌LOVE💝💯 :
nive give up 💪
2026-09-02 15:05:36
4
nyamatimbwa6
nyamatimbwa🇹🇿 :
yan siku ya kwanza kukutana nawewe umenifanya nitamani kuja gulf asante kaka mungu akupe maisha marefu
2026-09-05 20:10:36
1
user38102332047056
ABLA SHUU HAIR GROWTH OIL :
kweli kabisa Allah atupe subra na moyo wa uvumilivu
2026-09-18 18:26:49
1
user5267762205225
Ummyy :
swadakta
2026-09-02 17:59:14
1
saadiya.binti.jafa
wardii :
bas hata kama hulipwi Bado uvumiliye
2026-09-04 12:29:17
1
nasmagn
Nasma Gn :
kabisaa kaka asante unajua kunitia moyo mm nakushukuru sana mung tu atupe subira🙏
2026-09-05 08:47:50
1
balama.mlamu
balama mlamu :
mh
2026-09-02 16:04:08
1
danlztri
Mom Ruuh :
me nimekuja kaka ang ndo kwanz namwenz mmoja lkn naona Kam nimekaa Miaka Elfu Moja na shida San kukaa sehem Amna wifii
2026-09-16 05:47:20
3
user3545088562547
cety :
kaka nikisikia tu maneno yako wallah yananitia hasira naamuwa kukaza
2026-09-04 16:35:50
1
atiya_saidi
sweet_@t!y@ :
bila kuchoka
2026-09-02 16:47:45
1
rayshakhatbu
Raysha khatbu :
Hakuna kuchoka kipenzi💪
2026-09-03 06:55:09
1
rehema.chole
Rehema Chole :
kaka upo vzr sana unatumbambania ukweli mungu akuongoze daima
2026-09-06 18:00:39
2
ayonikhalfan
MRANGI 🐑 KONDOA :
lazima nirudi kuwa mshindi siwezi kushindwa nirudi tz mikono mitupu kwasasa maliza mkataba na kuongeza bila kuchoka 🤣🤣
2026-09-02 14:37:57
4
upendotryphone
upendo Daudi mweka :
Mim nae nitavumilia yote ila sio ya kutonilip pesa.mh
2026-09-04 10:07:28
2
To see more videos from user @bishir_1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About