hizi nyimbo kipindi zinatoka unasikiliza hadi unatoa machozi
2026-10-13 09:10:08
1
Fatuma Salum :
enz hzo naenda kwenye trela ucku narud home saa mbili mbili naktana na fimbo nyumbani daah
2026-09-03 06:41:24
7
___384 :
Au huyu ndo baba ake Jaivah
2026-10-11 09:05:03
2
𝘀𝗵☆𝗿𝗸𝘁𝗶𝗴𝗲𝗿 17 :
baba ake jaiva😂
2026-09-02 20:10:46
2
Mozess mugabu 29 :
kaimba nan😂
2026-09-03 19:48:14
1
magreth lucas :
natamani miaka irudi nyuma jaman daaaah sahv tuko kweny Dunia ambay haina mwelekeo😭😭😭
2026-09-02 18:43:21
8
euniOG :
hii nyimbo si imetoka juzi tu apo😂😂😂
2026-10-11 17:53:05
1
sad boy :
jaman kunawale Vijan tulikua tunasimama library nnje unakuta tupo wengii tumejaa tumejipanga apoo tunaangalia izi vituu kitamboo sana anii namiss zile moment
2026-09-29 22:12:42
1
Josephine Edward :
jmn mbon km mm kunamaneno nilikuwa nakosea jmn😂😂
2026-09-02 18:19:28
3
nameless :
wengi wao apo washakufa 😭😭😭
2026-10-01 19:50:39
1
Suzanne@ :
mimi Gen z lakini nilikuwa na imba iyo nyimbo yote.kipindi icho living water FM. walipenda kuipiga kila siku saa nane mchana
2026-10-09 17:27:15
1
Tour operator :
Enzi za akina neema mwaipopo
2026-09-03 13:11:45
1
KING DEBEJO 👑 :
2026-09-02 22:41:19
1
Justivo29 :
2026-09-02 20:41:10
1
Justivo29 :
2026-09-02 20:41:07
1
Naomi Luka :
2026-09-02 18:43:33
1
Esther Kimario :
kwenye ubarikio wangu 2008 😁😁
2026-10-11 12:15:45
0
user2085381165716 :
wimbo uripigwa kwenye msiba wa mamaangu mdogo unanikumbushia mbari sana
2026-10-11 12:28:59
0
sisy emily :
ndio maan nchi zawenzetu awake amini kama tunaweza kua na miss grand
2026-10-11 21:11:18
0
youngmoney01 :
so milenia mbna adi mimi umenikuta na ni gen z
2026-10-09 13:34:26
0
dollar 100$ :
hii sauti hatari sana
2026-10-07 03:58:13
0
Ruben Ruben :
long time ago 🫡
2026-09-16 07:55:25
0
To see more videos from user @zanakiyika.com, please go to the Tikwm
homepage.