@datamediatv: HALLELUJAH CHALLENGE KUFANYIKA TANZANIA MWEZI WA 10 (OKTOBA 2026). Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili kutoka Nigeria, Mchungaji Nathaniel Bassey, ameonyesha nia ya kufika Tanzania kwa ajili ya kufanya moja ya Hallelujah Challenge Nights nchini humo mwezi Oktoba. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Pastor Nathaniel Bassey ameeleza kuwa angependa Tanzania kuwa miongoni mwa maeneo yatakayofanyika usiku wa Hallelujah Challenge, akisema changamoto iliyopo kwa sasa ni upatikanaji wa safari za ndege. Katika ujumbe wake ameandika kuwa, iwapo watapata mpango unaofaa, huenda akawa pamoja na Watanzania katika moja ya usiku huo mwezi Oktoba. Hallelujah Challenge ni mkusanyiko mkubwa wa ibada na sifa unaoongozwa na Pastor Nathaniel Bassey, ambao umejizolea umaarufu katika mataifa mbalimbali. 🇹🇿 Je, Tanzania iko tayari kwa HALLELUJAH CHALLENGE? #Ongospel #HallelujahChallenge #NathenielBassey #HallelujahChallengeTanzania #TanzaniaHallelujahChallenge

DATA MEDIA
DATA MEDIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 14:10:40 GMT
5829
633
28
25

Music

Download

Comments

yuyuh679
yuyuh :
oooh God please 🙏let it be at Arusha 🙏🙏
2026-09-03 08:09:53
0
user3581581244435
Haresma :
please tell the location sharp sharp I wan come🥰🥰
2026-09-03 03:24:35
1
carryrembo
carry Lopez 🦋 :
I Can’t Wait 🔥🙌
2026-09-03 04:11:05
1
adorabblemercy
AdorabbleMercy ♎️ :
Ameeen ameen can’t wait
2026-09-03 07:14:51
0
sekela58
sekela :
location mapemaaaaa
2026-09-03 07:13:00
0
lilasco98
Lilasco98 :
Ifanyike tu Dodoma jamani ndo makao makuu🤗
2026-09-03 07:30:03
3
uniqly_organic
uniqly_organic :
najiona kabisa ambavyo sitolala kwangu
2026-09-03 08:30:21
1
ency.busness
Ency Busness :
Arushaa pametulia sana
2026-09-03 08:22:10
1
magra.desgner
Magra desgner 🪡👗 :
location mapema ni wap
2026-09-03 03:54:14
2
diva_catrixh7
thereal_ninao🥀 :
🔥🔥🔥
2026-09-02 15:06:15
2
mata26732
Mata🪻🌷🦋 :
Mungu huyu🙏🙏🙏🙏🙏Arusha pametulia sana jaman
2026-09-03 07:36:00
1
neemamatila
Neemamatila :
Waoooh hallelujah jaman 🥰🥰
2026-09-03 08:20:35
0
junga302
Obina :
location mapema jamani
2026-09-03 08:37:14
0
mama.cita307
mama cita :
Huhuuu siyakukosa
2026-09-03 08:22:55
0
ummymanento
Ummy Mimi :
inafanyika mkoa gani au tupendekeze
2026-09-03 07:21:12
0
nayester4
Nayester💞 :
hii nayo Mungu nisiikose🙏🙏
2026-09-03 07:45:47
0
yummycakes27
Mom MIREILLE 🥰 :
dar moja hiyo
2026-09-03 07:36:28
0
jomelanin
Jomelanin :
Nahis inachelewa Jaman 💃💃💃
2026-09-03 07:22:40
0
naka930
Naomy Kaduma :
Kwakweliiii DODOMA IFANYIKE MAKAO MAKUUU ALF RAHS KUSOGEA BORA TUOMBEE NCHI YETU KWAKWELII
2026-09-03 07:48:18
0
ms_queen032
ms_queen♌ :
Mwaka wetu huuu
2026-09-03 06:27:29
0
luckiest75
Barbie🌹 :
Uwiiii
2026-09-03 05:41:15
0
lucyirio
Lucyirio :
najiona ninavyoenda kupokewa muujiza wangu
2026-09-03 08:57:47
0
missketty59
Lightee :
Trumpeeeeet 🎉🎉🎉
2026-09-03 08:44:15
0
itcjocie
itc jocie✨🌸 :
@Hon Ghee🎀 hii imekaaje umeifatilia kweli unipe details zaid
2026-09-02 17:58:32
0
user2498141149945
user2498141149945 :
🔥🔥🔥
2026-09-03 06:21:00
0
To see more videos from user @datamediatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About