nikwel lakn pia ukiambiwa hupendwi usilamishe upendo ni hayo tu
2026-09-02 15:42:57
24
Mr. jerusalem :
inseams??
2026-09-02 19:11:26
0
Garl u know :
sio mm kwakweli lazima niende😅😅
2026-09-02 16:40:40
4
Windsor :
Inakuaje huo mwariko ni wa ikulu kiongozi🙏🙏🙏
2026-09-02 14:58:08
4
sarah♥️♎💫 :
lazma nikale nyama zangu je kama nimechanga😅
2026-09-02 19:34:34
3
🔥Jackson Storm🔥 :
correct
2026-09-02 15:05:31
1
quishaz ree :
nilifanya hvo nimenuniwaa
2026-09-02 17:02:40
1
Joab chisimba jr :
hata mm siendagi
2026-09-02 18:39:41
1
Mnywaranda JR :
Uyu n mm kbs 🙌🏾🙌🏾
2026-09-02 16:57:06
2
bodzad5 :
Asante San
2026-09-02 16:09:21
1
CHEUPE :
huyo ni Mimi usiponialika simuulizi na wala sijui tena sijui na sitaki kujua kabisa
SIPENDI dharau mimi
2026-09-02 16:58:26
6
Brown🔵 :
kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu..
2026-09-02 17:08:49
1
Suzy Boke :
kabisaaaa
2026-09-02 16:15:10
2
Ms yuster :
kama nina njaa je 🥹
2026-09-02 16:29:31
2
MsafiriThePodcast :
Maswala ya kawaida upo sawa ila kwenye utafutaji lazima tukaze adi mwisho
2026-09-02 17:02:58
2
pendo_cake & tools :
huyu nimimi sishoboki
2026-09-02 16:37:26
1
MAN OF GOD :
nimeipenda hii
2026-09-02 16:14:11
2
golden girl :
kweli mzee
2026-09-02 14:43:58
1
show :
Hakika
2026-09-02 16:16:15
1
nora :
✅️
2026-09-02 15:30:26
1
beauty💓 :
kwa kweli ni dharau mie siendagi
2026-09-02 20:35:10
0
MJ_MAKEUP_HENNA :
Wowooooo ile kiburi yangu imesimama kwa paji la usooo🧐
2026-09-02 20:41:10
0
Shuupetty 💄💄 :
Tupoooo wenetuuu 🤣🤣😹 pumzikaaa mama naniiii 👌👌
2026-09-02 20:25:38
0
To see more videos from user @kashera264, please go to the Tikwm
homepage.