nimeibaa Sana jmniiii ubwabwa wa watu had silali naviziaa watu walale au natoroka prepoh 😂🤣🤣🤣😂ila inanoga hatar hasaa mafood leader ukute walijipendelea😂😂🤣🤣😆😁😁nimemiss jmniiii 😭😂😂🙌
2026-09-02 18:16:05
5
Sc,KIBANDE ✅️✍️ :
MKIWA WENGI NIAMBIENI NIJE TENA
2026-09-02 14:23:31
15
La_Saba_B✝️😂 :
Hapo kwenye HGK na HGE balaa sana😂🔥
2026-09-05 14:05:43
1
Adam's Apple :
ilaa mkuu wa majesh
2026-09-02 16:39:40
1
victor :
sema jamaaa unajuaa kinoma san
2026-09-02 15:14:46
3
zone_ßilencior🧭🛞 :
ila we jamaaa we nomaa sanaaaaa
2026-09-03 12:00:38
1
𝓔𝓻𝓲𝓬𝓪 ᥫ᭡ :
MKUU WA MAJESHI MY FAVE😂😂
2026-09-02 15:56:37
4
kidafula upholstery :
kama namuona mwanangu lucas mahayu
2026-09-02 18:20:51
2
Chunah💕🦒 :
Daaah nikikumbuk HGL tulikula wal kiporo cha hkl food leader walikuw kweny mtihan wa kiswahili af tukaweka mchanga kweny kolabo na wali kidog juu 😂😂😂😂😂 karud mwenyw bil kuangalia kaanz kukata kachumbali hajaenda kukinga ugali 😂😂😂😂kuj kuwek juu ya wali kachumbar kuchot michanga aliliaaaa😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-02 21:02:12
7
Mom Muh 🤍♑️ :
Mkuu wa majeshi 😅
2026-09-02 14:26:05
5
_Bray_ :
HGK tujuane hapa😂😂
2026-09-02 14:31:58
3
Deo11⚽ :
wa kwanza leo🤣🤣🤣
2026-09-02 14:21:52
1
_salmommy@42.. :
wale wa egm mpoo
2026-09-05 06:12:04
1
𝐵𝓁𝒶𝒸𝓀𝒷𝑒𝓇𝓇𝓎❤️♎️ :
😂😂😂Mkuu wa majeshi haha food leader alikipataa😂😂😂
2026-09-02 14:25:47
4
jachaWRLD :
Daah umenikumbusha mbali tulichekecha tranka lanmwamba mmoja afu kwenye tranka kuna nguo za kesho j3 assemble Oyah ilikuwa noma
2026-09-02 18:37:15
1
Henry :
🤣🤣🤣team HGL ila HKL nao😂😂 daaah wanachosha Bora waibe beg tuu
2026-09-02 14:26:59
5
Black ninja :
hahaha
ahha
2026-09-02 14:23:18
1
Brian Bizzo :
mm nakumbuka tulikula halafu tukaweka mchanga tukarudisha 😂😂😂
2026-09-02 19:10:44
1
chiyo@#boy@$ :
😂katka zote hii umetisha sana nakumbuka time nipo njoss Kuna kitu kinaitwa kimbwa Mzee Yan ugali ulio wekwa kipolo😂😂daah
2026-09-02 14:31:38
2
To see more videos from user @niccollasy, please go to the Tikwm
homepage.