@nedymusictz: “Kazi ni sababu ya kutafuta riziki, lakini si chanzo cha riziki. Riziki hutoka kwa Allah.” #foryou #foryoupage #trending #viral

Nedy Music
Nedy Music
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 14:26:18 GMT
34656
4021
60
51

Music

Download

Comments

mamy.iyah
Mamy Iyah :
fact broh
2026-09-02 20:25:43
0
sagna_tz
sagna_tz🥸 :
fact bro🥺🥺🥺🥺
2026-09-02 22:31:53
0
ishmail.suleiman
Ishmail :
Nimependa sana unaongea Kam wa simulizi wa The story book
2026-09-02 16:22:04
23
abeda.shu5
Abeda Shu@ :
amiin jamani huyu kaka kitambo hicho 2017/18
2026-09-02 16:17:25
7
being_miah46
Being_miah❤️ :
Manshallah
2026-09-02 21:48:45
0
shammy.rama
shammy :
haswaaa
2026-09-02 16:51:41
0
mamas_fav09
༺𝐂𝐇𝐈𝐋𝐎’𝐒 𝐀𝐍𝐆𝐄𝐋S༻ :
Unaongea km Jamal April 🥰
2026-09-02 20:07:14
5
asuminiabdallah46
Asumini Abdallah :
umeongea point mtoto wa bint juma mashaallah
2026-09-02 20:12:08
7
bambii_tz
Bambii🥶 :
Fact🙌
2026-09-02 17:30:04
3
b_five11
b_five11 :
fact maa sha allah
2026-09-02 20:05:38
4
omarymohamedy83
zungu. :
saidi kidomo....west zoni kigamboni jumbe sc school...2010
2026-09-02 21:54:37
1
mariamkiwale759
likash mee :
Mashaallah' Mashallah ni maneno machache yenye uadilifu Allah atujaalie tupate rizki za halali na atupatie katika kila cha halali. big up sana bro
2026-09-02 20:08:03
4
user7710317330520
Asmita kipenzi chawatu :
kweli kk manshallh
2026-09-03 00:45:11
0
shamsah6433617014057
shamsah hamady :
mm nakwelewa sn leo nimepata hela bila kazi na sababu ya msingi kabisaa Ahsant mungu
2026-09-02 19:50:47
1
ibraah.criss
Ibraah Criss :
Kaka upo sahihi 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
2026-09-03 00:02:19
0
user2400737436579
Dorcas :
Allah akuzidoshie
2026-09-02 21:57:21
0
castor.john71
Castor John :
🙏🙏
2026-09-02 16:51:48
1
hijabsisters._kigoma25
HIJAB SISTERS KIGOMA :
Kweli MashaAllah...Allah aturuzuku rizq inayotutosha.
2026-09-02 23:28:55
0
hafsabakari102
hafsabakari102 :
Takbir🤲
2026-09-02 14:31:19
6
abdala6592
golden boy 005 :
kweli
2026-09-02 19:52:23
1
yassinmrisho
yassa boy :
sahihi
2026-09-03 05:03:08
0
user85259345151201
alvarez :
Allah akuzidishie kher kaka nkukubAli sana
2026-09-02 21:45:40
0
user588081390761
SCARFACE. 137 :
ameni
2026-09-02 21:15:37
0
wardasong....8999
.Cute from Tanga..💍..🔥. :
Huyu si Nedy wa Zenjy...Niliwahi sema nikiwa mkubwa atakuwa mchumb wangu...Jamn siku zinaenda😂😂😂🤣
2026-09-02 21:08:33
0
chillahthomas
Platform CINEMA 🎬🍿🎥 :
AMIIN🙏
2026-09-02 14:30:31
0
To see more videos from user @nedymusictz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About