Hicho kitu huwa kinatokea sana.
Kutengana na mpenzi wako ambaye ulikuwa unampenda sana na ukaja ukasikia ameshaoa tayari hilo ni jambo ambalo linawatokea watu wengi. hapo cha kufanya kama tayari mwenzako ana familia naweza nikasema huyo sio wako tena kwa sababu tayari ameshakuwa na maamuzi ya kwamba awe na familia yake na kuna mawili anaweza kuwa alilazimishwa au ni maamuzi yake kutoka moyoni sasa kama ni maamuzi yake huwezi kumbadilisha. mhm lakini niko naomba u_note hiki kitu.👇👇👇👇
SIO KILA UNAYE MPENDA UTAISHI NAYE KWENYE HAYA MAISHA NA KUTIMIZA NDOTO ZENU KAMA MNAVOTALAJIA. KUMBUKA MBALI NA MIPANGO YAKO PIA KUNA MUNGU ANAYE PANGA KILA KITU KUNA MUDA MUNGU ANATUTENGANISHA NA WATU TUNAOWAPENDA SISI ILI KUTUEPUSHA NA MENGI MABAYA. HUENDA MTU UNAYE MPENDA SIO SAHIHI NDO MAANA INATOKEA KITU KAMA HICHO. "🩷 Mapenzi ni kitu kizito sana ambapo kila mtu anatafasiri njins anavyoelewa yeye................
2026-09-02 15:31:52
33
Rahmakhamiss Rahma :
tunaompenda kinjunga tujuane
2026-09-02 15:33:45
64
marceline :
Hali kuwa nae yangu zamani
2026-09-02 14:48:30
18
Mwamini Omary :
kinjunga naitaj nafasi yaugizaj ukiskia nijulishe kpenz please
2026-09-02 16:09:57
13
Mrs charming :
naomba niwe rafk ako kipenz
2026-09-02 15:13:43
18
Barack MASHINDANO :
Ok pouwa kinjunga najuwa unataka comment yang
2026-09-02 16:53:03
13
buntu jr🤘👀 :
uhakik
2026-09-02 14:34:40
7
ODOH GEEEE🤟🫶💫 :
dm bax npate namb Zak napenda uwe rafk ang
2026-09-02 15:26:10
6
#ummuu :
kwli👍👍👍
2026-09-02 14:37:47
9
official siara🦋 :
yan unajibu sms had rah yan nakupenda bataman tuw marafik
2026-09-02 15:03:09
7
Mrs chilu 💝💝💝🌹🌹🌹🌹 :
daaa sitaki kukumbuka icho kitu niliumia sana ila badae nikazoea maisha mengine yanaendelea. pia Kila kitu niliziki atakavokupangia mungu km Mimi naisi ilikua sio bahati yangu nashukulu asaivi nimepata mtu sahihi kwangu na tumefunga ndoa na tuna watoto tunapendana sana 🥰
2026-09-03 04:26:29
10
myra@& :
unaweza my frendi🥰
2026-09-02 15:10:34
2
🌸🎀 aynah girl 🌸🎀 :
familia nakubal sana jmn umetisha ile mbay penda shana sem nn leo umeongea point atar ila naomb unijibu tu leo maan unatumag tu emoji leo nijib kwa maneno🤟🥰🥰
2026-09-02 15:59:52
6
king Rayza tz :
naww kuwa na mke na mtoto maana nachoka na haya mambo mm
2026-09-03 06:25:36
3
zainabusharirifu1334 :
mamb kijunga
2026-09-05 20:19:58
1
Jack90 :
we kinjunga ww mbona umepoa sana sio kawaida
2026-09-06 16:17:37
1
YANGA CHAMPION💪🙏🤲 🔥 :
naomba niwe rafiki yako
2026-09-03 04:07:54
1
princessgerald45 :
we kinjunga
2026-09-02 15:14:12
2
Number :
wew na mbala mna mahusiano au mmewah kuwa na mahusiano??
2026-09-02 20:46:32
3
ponire :
naomba namba Yako ya wasapu
2026-09-05 07:22:07
2
To see more videos from user @kinjunga.wa.dubu, please go to the Tikwm
homepage.