@eliza_midek: Wako unampkeaje akirudi nyumbani ?@tonny_official2 @g_midekotonny @Diamond Platnumz #usa🇺🇸 #tanzaniantiktok🇹🇿 #typ #canada #usa

elizamideko
elizamideko
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 14:35:35 GMT
291757
31815
956
399

Music

Download

Comments

peninahgodson
Mss Chiku :
Wangu alirudi nikaenda kumpokea kwa bashasha sikujua kam wametoka kugombana na mchepuko wake alinipiga teke ubavuni figo ikapasuka jamniii naomba msaada wa figo tafadhali mniokoe🤣🤣🤣🤣
2026-09-03 11:40:18
526
fmaika3
F Maika :
wanaume wanatofautina sana wengine hawapendi hayo mambo kabisa
2026-09-03 10:11:36
326
myaltitude7
naomi :
m wangu kanichoka anaweza hata anigonge nifie mbali🤣🤣🤣🤣
2026-09-02 15:31:52
482
user33144304761
naimahdayyan :
usizidishe sana maana Kuna a few moment later
2026-09-02 15:38:10
209
user984180163187
user984180163187 :
Daaaaah mungu aidumishage ndoa yenu iwage yenye aman naupendo usiokua na mke mwenzang make Mmmmh[Laugh approved][Laugh approved][Pray]
2026-09-03 18:21:53
0
surelady38
surelady💪 :
Mara paaa kwenye gari kuna babamkwe na mama Mkwe 😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
2026-09-03 15:28:37
71
user5953401000194
steve :
makipendag san dad Elizabeth 🥰🥰🥰😂😂
2026-09-03 19:38:45
0
qeen.msukuma2
qeen msukuma :
jaman mi wakwangu huwa namuonea aibu mana yuko siriaz sana
2026-09-02 16:28:19
132
kandonga_pris
Kandonga_pris :
akirudi namshukuru Mungu maana anaweza maliza wiki hayupo🥺
2026-09-03 11:29:48
87
haitham5984
EAGLE :
Ck mume wangu akirudi nitafurah San sem ndo hvoo mabint wa 2000 washanibebea daaah MUNGU anikumbuke arudi kwa. Familia yake🙏
2026-09-02 15:50:36
95
officialmkuna
OFFICIEL_SMAW+FCAW+GMAW C-IX :
10 x10 =100 came here
2026-09-03 17:49:46
0
aishaomari148
Aisha :
G anajiuliza mama amepatwa na nn
2026-09-03 10:07:07
19
aminayahya154
💘Roohfy🤍💌💖 :
kama ndoa za ckuhizi nd hivi bss mie cna mme
2026-09-03 12:00:53
18
khadijasalimu563
p hd 🌺 :
nimependa uchezaji wako
2026-09-03 11:43:51
19
malia.rubare
Malia Rubare :
due hatr
2026-09-03 10:57:05
0
mozeyyah.sayd
Mozeyyah Sayd :
mme endana
2026-09-03 16:22:57
0
its.rizzar.baby
it's rizzar baby 🔥🫡 :
pia sisi Kenya tuko n mubaba n momie wetu😂😂
2026-09-03 13:37:24
6
anesiajosephat
Anney J2💝 :
tuliorudia kuangalia mara mbili mbil kwa furah telwe@
2026-09-03 16:02:49
8
tedy2781
tedy :
me wakwangu namuonea aibu maana hajanizoesha kucheza nae
2026-09-03 14:25:05
7
daanaamsuya0
daanaamsuya137 :
Minuno t mpk anajuta akichorudia nyumbani
2026-09-03 12:21:32
17
hilda24500
precious ❤️ :
Sasa Mimi huyu wangu anarudii saa6 usiku jmn nachoka meme
2026-09-02 16:04:24
12
florencynice
NICE🇹🇿 :
Ajitokeze mkaka tupendane kama hawaa basiii🥰🥰
2026-09-03 08:56:02
7
sofier1
sofier〰️💕 :
leo nilikuwa mood off sana ila baada ya kuona nimecheka na kusahau shida zote😂😂😂 ucinitag nyingine jmn😄😄😄
2026-09-02 14:42:46
32
user3829311421351carhy
𝙘𝙖𝙧𝙚𝙚𝙣💝💝 :
utacheka kama sio mke wako 😅🙌
2026-09-02 16:00:39
5
To see more videos from user @eliza_midek, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About