@omarymussa58: Moja ya mechi iliyobeba hisia kubwa kwa wana simba hii siku ilikua ya furaha baada ya kuitwa mwakarobo kwa muda mref #nguvumoja #fyppppppppppppppppppppppp #trending #fypシ゚viral #fypシ゚viral

Football
Football
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 14:50:13 GMT
208822
13943
367
187

Music

Download

Comments

auntlolo8
loloh :
hii siku ndo nilijua mpira ndo unaweza kuniua sio mapenzi😂😂
2026-09-19 07:43:36
190
edie.edie.edson.m
Edie Edie :
mpka Leo Bado penalty ya kibu naogopa nikiangalia 🤣🤣🤣🤣simwamini
2026-09-19 08:27:14
85
.dianah04
Dianah 💕 💋 :
Hii ck ndo niliamini kwmba simba inanipa furaha kuliko hata mapenzi [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-19 10:06:20
28
being_tee2
Tëé✨🦋 :
niliangalia mpr dirishn n wakt n kwng😂
2026-09-21 09:20:47
16
setup_username0
💕Mary da cute💕 :
Huwez amini ni marudio lkn moyo unadunda kinyama uwiii[Laugh approved][Laugh approved] haya mapenz juu ya hii simba yataniua[Heartwarming]
2026-09-21 19:05:47
0
breezybabylon25
Breezybabylon :
Huyuuu ndo alikuwa goal keeper bhna
2026-09-19 16:42:13
22
cecilia.paul93
Cecly🦁💞💞 :
sikuangaliaga penati ya mwisho nilikimbia chooni maana nilibanwa kunya ghafula😂😂😂
2026-09-19 17:21:44
12
mayramustaph
Am_mayra :
Sasa me pressure ya nin na kitu cha zaman😂
2026-09-20 17:32:08
5
alhamdulillah71697
alhamdulillah :
ktk. vitu sikuubaali camara kuachwa simba kipa mzuri sana huyu pinpin camara💪💪
2026-09-19 07:58:42
19
user76879958632982
Emanuel lyimo :
yani aliemtoa Kamara kamleta kasali mngu anamuona
2026-09-03 07:44:40
30
aisha.pekesheni
Aisha Pekesheni :
Kwani hapa kwa Camara kilitokea nini jamani mpaka tukamuacha
2026-09-19 08:48:46
10
lizzyjackson91
🦋CHARMING GIRL✌🍒 :
penalty ya kapombe ndy ilinifnya nikalia hii siku hapana😂🙌
2026-09-20 08:52:23
9
thefoxman06
Collins Bella :
aisee Camara aikuwa n mtu cjui kwann simba walimuacha?!!🥺🥺
2026-09-03 14:27:27
23
kingilike.junior
Lab tech: Kingilike Junior :
Mourinho aliwahi kusema IT'S FOOTBALL, IT'S MORE THAN GAME, IT'S LIFE🥺🥺 watu wanatoa machozi kwa ajili ya huu mchezo
2026-09-20 06:31:11
6
mnyarwandatz
mnyarwanda tz❤️🤍 :
hii mechi ilitaka kunipandisha presha
2026-09-02 19:58:58
10
user4038203730351
it's me :
hii siku nilikua na furaha hadi nikablid hapo hapo dah alafu maumivu sikupata 😂😂😂
2026-09-19 11:13:03
5
jimmy.devayoo
Jimmy Devayoo :
ila tuseme thu ukwel amna timu boraa afriCa kama simbaa mnyanmaaaa😆😆
2026-09-03 22:51:45
16
frank62848
zungu :
daah uyu jamaa arud tuu simba
2026-09-03 06:41:15
7
najma3030
Naah♓ :
🥺🥺🥺 Nalia Nini sasa ila hii simba itaniua🥰🥰
2026-09-19 10:01:56
5
fraxhtzmusic0
Fraxh Tz🇹🇿🎵🎹 :
nashindwa kuelewa kamara na kobisi
2026-09-03 16:39:08
6
shimi5683
shimi :
siku hii sintaisahau
2026-09-14 16:28:54
4
kijanawataifa
kijana wa taifa :
Naipenda Simba
2026-09-20 09:34:57
1
chad_umeme255
chad_umeme255 :
camara dah 🥹
2026-09-20 08:41:02
1
marselinarweyemamu
marselinarweyemamu :
piga keleleleeeeee piga keleleleeeeee... libase moto
2026-09-19 18:43:02
0
evamaulilyomfugal
Black beauty 😍 :
Hiii siku nililala kituoni Kwa furaha daaaahhh ❤️❤️❤️
2026-09-19 16:17:24
3
To see more videos from user @omarymussa58, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About