@zungukakereog: #maandamano #kenyantiktok🇰🇪 #creatorsearchinsights #trending #tanzaniatiktok

Kaka wa taifa tz
Kaka wa taifa tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 14:53:17 GMT
4686
185
33
13

Music

Download

Comments

user8763323540435
user8763323540435 :
vyakula tunavyokula siku hizi kemikali ni nyingi mfano mabroiler, energy drinks , pombe kali, vyakula vya supermarket
2026-09-03 15:10:21
0
user814094348616
sabla :
daa subuhana Allah yarabi wasidie ajwako😭😭@🤲🤲🤲
2026-09-02 15:59:23
1
fatmasuleiman50
Abu Xani🇹🇿🇸🇴 :
laa haula walaa quwwata illa billah
2026-09-02 18:33:46
1
filbert.kimati
Filbert Kimati :
Hapa Tanzania pia tuko wengi sana brother..Na wengi wanakufa Kwa kushindwa gharama kubwa za kuchuja damu kwani Kwa wiki tunasafisha damu mara tatu Kwa ah laki mbili kila unapochuja dama..so Kwa wiki tunatumia sh laki sita. Hebu angalia kama Kuna raia wa kawaida anàweza kumudu hii? Bila serikali kuhamua kulibeba hili jukumu tunakufa tukijiona.Mimi nipo kwenye Dalisisi tangu mwaka 2021 lakini nimeweza kujionea na kuelewa kiasi kikubwa Cha haya maradhi yalivyo na yanatukatisha tamaa kuwa ukishaupata jibu ni kufa tuu.Kwanza kiuchumi unakwisha kabisaaa na bila pesa huwezi kuisha hata wiki mbili..nakufaa.So chonde chonde tunaomba serikali ituangalie Kwa jicho la hurumaa..Tunakufa tuajionaa😭😭😭
2026-09-03 05:42:37
1
_hancy1
user6034312901902 :
hakika
2026-09-02 23:08:45
0
alkindy91
alkindy :
dah kweli inauma
2026-09-02 23:41:50
0
user4280003344063
SORRYDA :
kuna michezo hapa kaka
2026-09-03 05:36:20
0
lemamolelilemamol
lemamolelilemamoln :
polenisana
2026-09-02 22:13:30
0
user3488101801579
Abdul waissa :
kabisa kaka
2026-09-03 11:13:28
0
razackyunusu4
razackyunusu :
mungu atusaidie jaman
2026-09-02 16:52:53
0
nasraally145
yasintaa yasin :
kwelii
2026-09-03 06:36:46
0
0678389023w
AYATORA KHAMENEI :
mungu wape wepesi namna yako
2026-09-03 20:11:18
0
user.jaymucom
user jaymucom :
Daaah inauma sana big up brother kwa ukumbusho watu wanaumwa
2026-09-03 14:27:05
0
user9767811934000
Simba Mweusi :
pole familia MUNGU awakumbuke
2026-09-03 14:06:12
0
fredyali232
fredali :
ee mwenyezi mungu wasaidie wajawako
2026-09-02 20:46:20
1
user2583462592992
user2583462592992 :
leo umeongea point tangu nimeanza kukuona
2026-09-02 15:08:47
0
sadammanzabey
sadam :
kaka mungu akuzidishie kutukumbusha huu mtihani mpaka nalia
2026-09-03 06:10:17
0
filbert.kimati
Filbert Kimati :
Kwa mawazo yangu ya kawaida tuu ninaomba hata serikali ingeunda mfuko maalum Kwa ajili ya kuhudumia Hawa waathirika wa hili janga kwani bado tuna malengo yetu na tunatamani kuishi Tena. Jamani hata serikali ingefanya hata kuongeza sh mia tu kwenye kila Lita ya mafuta Kwa ajili ya kumchangia h kwenye hii changamoto Mbona hata Matumaini yetu yangeweza kurudi Tena.Jamani tunaomba Watanzania wenzetu mtupazie sauti tusaidiwe jamani hakuna kitu chenye thamani zaidi ya afya..😭😭😭 chonde chonde serikali tusaidieni jamani tunaichukia serikali Kwa sababu inatubebesha mzigo ambao hatuuwezi jamani tunakufa tukijiona tusaidieni jamani.😭😭😭😭😭
2026-09-03 05:52:32
1
weka2wekemtove
WEKA2WEKE :
Kwa mala ya kwanza umeongea ukweli Mimi nilikwambiaga Kila binaadamu MUNGU amemuumba na roho ya huruma japo wa chama nyie mnajifanyaga hiyo huruma hamko nayo ila Leo ukweli umebainika nyie pia roho ya huruma mnayo mnajiendekeza tu
2026-09-02 16:41:11
0
evelada2
evelada :
pole sana mngu awaponye
2026-09-09 03:54:49
0
yusuph._amiry
Yusuph _Amiry :
uyu ndo alikua anazungumzia yale majizi ya tareh 29
2026-09-03 07:28:23
0
patysanga225
Paty Sanga :
ugonjwa huu unasababishwa na nini
2026-09-03 08:35:03
0
user4942650352053
Azizijr :
hata hapa tz tupo wengi sana tunasubiri siku tu
2026-09-03 10:11:08
0
benitha.bonny
Benitha Bonny :
acha hilo kuna kisukari kinakuja kwa kasi sana. hasa under 25. kijiji x mpka sasa watoto wako 33 ambao wako na kisukari tena wenye hali duni@kaka wa taifa
2026-09-03 08:07:19
0
major.kiddie
Major Kiddie :
Kidney failure ni janga la Mataifa kaka.....Muhimbili kuna wagonjwa 400
2026-09-04 00:53:27
0
To see more videos from user @zungukakereog, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About