@bbcnewsswahili: Kuachana kwa wazazi wake kulisambaratisha familia yao na kubadili uelekeo wa maisha ya Lilian Simpson aliyeazimia kukabiliana na mazingira magumu kufikia ndoto yake ya kutafuta elimu akiwa bado binti mdogo. Lilian ambaye ni mwalimu wa chuo cha usimamizi wa fedha anayetoa elimu ya uwekezaji nchini Tanzania akiwalenga vijana na wanawake mtandaoni anasema baadhi ya watu hawapendi kutafuta maarifa ya elimu ya fedha na uwekezaji wakiamini inawahusu matajiri au watu wenye vipato vikubwa tu. Mwandishi wa BBC @martha_saranga katika waridi wa BBC alipata fursa ya kusimuliwa safari hii Tembelea kurasa yetu ya BBCSwahili Youtube #bbcswahili #waridiwabbc #wanawake #elimu #uchumi #foryou #fyp

bbcnewsswahili
bbcnewsswahili
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 23:00:00 GMT
20124
661
23
20

Music

Download

Comments

makuyunifinest.tz0
MAKUYUNI FINEST :
kwa kweli ata mm kama unapesa uwez nishauri kuhusu kupata pesa🙌🏼🙌🏼🙌🏼
2026-09-03 00:36:36
5
kariakoo_super_shopping
kariakoo super shopping :
You have to win then teach people how reach that point but using people’s problems to earn is another scam [Cool]
2026-10-02 09:27:53
1
mzungu_wa_roho
Mr. Sokwe :
mbona ni relevant kabisaa, Being an Example is good example 😎😎
2026-09-03 10:53:18
2
abdulgotit
Abdul :
Mashallah...Turned trauma into triumph
2026-09-04 11:34:10
1
johann23.4
Johann johan :
By the way.....it's very true
2026-09-06 14:56:00
0
ushindimwasaka262
Ushindi Mwasaka :
jamani mwalimu wa kuogelea siyo samaki[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-26 03:09:51
0
gentamicin34
慶大霉素 :
huo ndo ukweli
2026-09-28 10:35:01
0
kingdebejo1
KING DEBEJO 👑 :
Madam wangu nampenda sana🥰. Hata Darasan anatushaur sana
2026-09-02 23:10:57
0
lil_vin96
VIN :
fact 👏
2026-09-02 23:49:11
0
khadija.adilkhabi
Khadija Adilkhabir :
mungu akizidishie Imani uzidi kushauri
2026-09-08 06:09:30
0
stony_wisdom
stony-wisdom@ :
na ni kweli
2026-09-03 10:26:09
0
benardmakongo1
BENARD MAKONGO :
sahihi tanzania life motivator mmekua wengi
2026-09-03 12:26:36
0
mahungotz7
MAHUNGO TZ :
🤔🤔🤔
2026-09-02 23:13:35
0
godyyy72
Gody adventure :
ulidhobokeà ela poleè
2026-09-03 01:40:09
0
jofbill
@jofbill_956 :
congratulations
2026-09-02 23:08:18
0
bonifacelazaro108
Boniface Lazaro :
hapana hujawai kumfuatilia mo vzuri
2026-10-06 04:05:33
0
user61418175139342
Sengobad :
kwani walimu wote waliokufundisha toka chekechea wana PhD?
2026-09-03 00:29:01
0
osuubig
Osuu.Big :
🥰🥰🥰
2026-09-02 23:15:40
0
benedictmwendwa1
Ben mwendwa kana ka NGAI :
@
2026-09-07 19:23:25
0
kariakoofinest0
kariakoofinest0 :
😁😁😁
2026-09-02 23:04:31
0
gift23194
gift23 :
🥰🥰🥰
2026-10-07 01:07:08
0
To see more videos from user @bbcnewsswahili, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About